Category: Mtazamo
KIJANA WA MAARIFA (5)
Ukijificha fursa nazo zinajificha Kuna watu wanajua mambo mengi lakini hawataki kutoka nje na kuonyesha yale waliyojaliwa. Kuna watu wana ujuzi mkubwa lakini hawataki kuonyesha ujuzi wao. Kuna watu wana mawazo mazuri ya biashara lakini hawataki kuanza kuyafanyia kazi. Kila…
Hii Barack Obama vipi?
Mpita Njia (MN) anawapongeza viongozi wote walioandaa Mkutano wa 39 wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Mkutano huo umeshuhudia Rais John Magufuli akikabidhiwa kijiti cha kuwa mwenyekiti wa jumuiya hiyo muhimu sana kwa nchi za kusini mwa Afrika….
Busara katika kodi ya ardhi
Hivi karibuni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Angelina Mabula, ameonyesha ujasiri zaidi katika kuzibana taasisi na kampuni zenye madeni makubwa ya kodi ya pango la ardhi. Mpita Njia ama MN anatambua ukubwa wa tatizo hilo….
Posta na fikra za analojia!
Mabadiliko ya ulimwengu wa leo yamemfanya Mpita Njia (MN) naye aishi kulingana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia. Ni kwa sababu hiyo, naye amejikuta analazimika kujua namna ya kuingia kwenye mitando na ‘kuchati’ japo kasi yake si kama ya wenye…
Aibu barabara za ‘City Center’ Dar
Mvua zimekuwa jambo la kutia aibu katika Jiji la Dar es Salaam. Kwa wengi jijini Dar es Salaam, kama ni suala la kuchagua kati ya mvua na jua ili kutunza aibu ya uongozi wa jiji hilo, basi ni afadhali kuvumilia…
Aibu tupu stendi Makambako, Njombe
Mpita Njia, maarufu kama MN wiki mbili zilizopita alikuwa katika miji ya Njombe na Makambako kwa nyakati tofauti, ndani ya Mkoa wa Njombe kwa Wabena, Wahehehe, Wakinga na makabila mengine mchanganyiko ya Tanzania na hata watu wa mataifa mengine, ikizingatiwa…