JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Mtazamo

Nyota yako itaonekana kabla ya jua kuzama

Inawezekana umefanya mambo mengi huku ukiweka juhudi katika kutafuta mafanikio lakini bado unapata matokeo hafifu. Habari njema ni kwamba wakati wako waja neema itakapokushukia. Inawezekana nyota yako huioni asubuhi lakini kumbuka siku bado haijakwisha, nyota yako itaonekana kabla ya jua…

KIJANA WA MAARIFA (11)

Mitandao ya kijamii ni fursa wanayoitumia wachache. Jumamosi ya Januari 11, mwaka huu ilikuwa siku ya furaha kubwa maishani mwangu. Ni siku ambayo nilikuwa nikizindua kitabu changu cha tatu kiitwacho ‘yusufu nina ndoto’, ambacho sasa kipo sokoni. Kabla ya kufanya…

Kituko tovuti ya BoT

Mpita Njia (MN) anakumbuka miaka ile ya enzi zao watu waliofanya kazi Benki Kuu ya Tanzania (BoT) walionekana kama vile ni wateule wa Mungu. Walionekana wateule kwa sababu mazingira, aina ya kazi na mishahara yao viliwafanya wengi waamini kuwa hakuna…

KIJANA WA MAARIFA (10)

Akiba haiozi, wekeza ukiwa kijana Wanasema akiba haiozi na ikioza hainuki. Nitafanya makosa makubwa kama nikiandika mambo mengi kuhusu vijana na nikakosa kuongelea kuhusu kijana na uchumi. Ni wazi kwamba pesa katika maisha yetu haikwepeki. Tangu unapoamka mpaka pale unaporudi…

KIJANA WA MAARIFA (8)

Shukrani ni jukumu la kufanyika haraka   “Hakuna jukumu linalohitajika kufanyika haraka kama kurudisha shukrani,” alisema James Allen. Kushukuru ni kuomba tena. Shukrani ni kurudisha fadhila ya kuona umefanyiwa kitu cha thamani na mtu ambaye anaweza kuwa rafiki yako, ndugu,…

KIJANA WA MAARIFA (6)

Acha kufanya mambo kwa mazoea Binti mmoja alizoea kumuona mama yake ambaye kila alipotaka kupika samaki alimchukua samaki na kumgawanya katikati ndipo alipoanza kumpika. Jambo hilo lilimfanya binti yule atake kujua kwanini mama yake kila alipopika samaki alimgawanya katikati. Siku…