JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Mtazamo

Maisha ni mtazamo

Mafanikio yanategemea mtazamo. Kushinda kunategemea mtazamo. Furaha inategemea mtazamo. Shukrani inategemea mtazamo. Umaskini unategemea mtazamo. Utajiri unategemea mtazamo. Amani inategemea mtazamo.  “Mtazamo ni jambo dogo lakini linafanya tofauti kubwa,” alisema Winston Churchill. Kinachowatofautisha wavumilivu na waliokata tamaa ni jambo dogo…

Yah: Tusipozuia mapema itatugharimu siku zijazo

Nianze waraka wangu kwa kuwakumbusha kuwa sasa ni rasmi tunaelekea kuugawa mwaka, wenye malengo yao naamini wanafanya tathmini walipo na wale ambao walisherehekea mwaka kwa kuangalia tarehe, labda hawana chochote cha kufanyi tathmini zaidi ya kusubiri tarehe ya mwaka mpya….

Mzaha katika mambo makubwa

Ujinga ni pepo la mabwege. Ndivyo Mpita Njia (MN) anavyoanza kwa kusema. Anasema hivyo kwa sababu tangu serikali itangaze uwepo wa wagonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na virusi vya corona, baadhi ya watu wanajitoa akili na kuleta mizaha mbele ya ugonjwa…

MAISHA YANAPOKUPATIA LIMAU, TENGENEZA JUISI YA LIMAU (1)

Badili picha mbaya kuwa picha nzuri Kuna wanaoona miiba kwenye ua waridi na kuna wanaoona waridi kwenye miiba. Penye ubaya kuna jambo jema limejificha, penye ugumu kuna furaha imejificha, penye matatizo kuna fursa zimelala. Uwezo wako wa kubadili picha mbaya…

Wana Kagera tuungane kuifufua KCU

Kufuatia makala zangu nilizoandika kuhusu Chama Kikuu cha Ushirika mkoani Kagera (KCU), ambacho sidhani kama nitakuwa nimekosea kukiita marehemu, nimepokea maoni mbalimbali, mengi yakitaka niachane na mambo ya kuandika kuhusu chama hicho. Lakini leo nimeona niandike tena. Kusema ukweli uliokuwa…

KIJANA WA MAARIFA (13)

Tazama kile kisichofanywa na wengine na ukifanye Kila unakopita, kila unakokwenda utakutana na watu wanafanya mambo yanayofanana. Kufanya mambo yanayofanana na wengine ni ishara kuwa unachokifanya kina ushindani mkubwa. Kanuni za biashara zinasema, kama wazalishaji ni wengi, wanunuzi wanakuwa wachache…