JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Mtazamo

Morocco yavunja rekodi mbalimbali kutinga 16 bora Kombe la Dunia Qatar

Timu ya Taifa ya Morocco wameuungana na Senegal katika hatua ya 16 Bora ya Kombe la Dunia nchini Qatar baada ya kuicharaza Canada kwa mabao 2-1 na kuwafanya kuongoza kundi lao wakiwa na point 7 huku wakifuatiwa na Croatia wenye…

Kanoute mchezaji bora Novemba

Kiungo wa Simba SC, Sadio Kanoute, ametwaa tuzo wa mchezaji bora wa Simba kwa mwezi Novemba baada ya kuwashinda beki Shomari Kapombe na kiungo Mzamiru Yasin kwa kura zilizopigwa na mashabiki wa timu hiyo.  Kwa ushindi huo Sadio Kanoute atapata…

Majaliwa kauvae u-Sokoine

DAR ES SALAAM Na Javius Byarushengo  “Ole wake kiongozi mzembe na asiye na nidhamu nitakayemkuta: Kiongozi wa siasa hana usalama wa aina yoyote. Usalama wake ni kudra ya Mungu na wananchi peke yake. Viongozi wazembe na wabadhirifu wahesabu siku zao. Labda…

Rais Samia Suluhu: Mjenzi makini wa demokrasia

Na Mwalimu Paulo Mapunda  Kamusi ya Kiswahili Sanifu, Toleo la Pili la mwaka 2004, inaeleza maana ya neno “Demokrasia” kuwa ni mfumo wa kuendesha serikali iliyochaguliwa na watu kwa manufaa ya watu. Hivyo uhalali wa serikali yoyote ya kidemokrasia unatokana…

Rais Samia choma kichaka nyoka wakimbie

Na Deodatus Balile Wiki mbili zilizopita niliandika makala nikipongeza hatua anazozichukua Rais Samia Suluhu Hassan.  Nimeeleza kukubaliana naye katika dhana ya kuchimba madini au mafuta hata kama yapo kwa maana kwamba hizi rasilimali zipo kwa ajili ya kusaidia kulikomboa taifa…

Serikali chombo cha mamlaka tukiheshimu

Ipo dhana kwa baadhi ya watu hapa nchini kwamba Serikali ni Kiongozi Mkuu wa Nchi, kwa maana ni Rais.  Ni dhana ambayo mara kadhaa imezusha malumbano ya kisiasa na kijamii kwa fikra kwamba Rais ni mtu. Iko haja tena ya…