JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Ulega atoa siku 30 kwa mkandarasi barabara ya Nsalaga – Fisi kuweka lami

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa siku 30 na kumtaka Mkandarasi Kampuni ya CHICO anayetekeleza ujenzi wa upanuzi wa barabara ya Nsalaga – Ifisi (km 29) kwa njia nne, jijini Mbeya kuongeza kasi ya ujenzi…

Kambi ya madaktari bingwa, Comoro yaipa sifa Tanzania

…JKCI, Global Medicare wawasilisha ripoti serikalini Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KAMBI ya matibabu iliyofanywa na madaktari bingwa wa Tanzania nchini Comoro imekuwa ya mafanikio makubwa kwani wananchi zaidi ya 2,270 waliokuwa na changamoto za kiafya walipata tiba….

Mbunge Byabato ameiweza Bukoba

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Bukoba Julai 23, 2024 niliandika makala yenye kichwa cha habari kisemacho: “Rais Samia ana maamuzi magumu.” Makala hii niliiandika baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutengua uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya…

Polisi, DCEA wakamata shehena ya bangi ikitoka Malawi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya JESHI la Polisi mkoani Mbeya kwa kushirikiana na Mamlaka ya Kupambana na Kuzuia Dawa za kulevya (DCEA) wamekamata gari likiwa limebeba shehena ya dawa za kulevya aina ya bangi zikiletwa nchini kutoka Malawi. Kamanda wa…

ACT- Wazalendo yaguswa kifo cha Papa Francis

Chama cha ACT- Wazalendo kimepokea kwa huzuni na masikitiko kifo cha Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis kilichotokea leo. Taarifa iliyotolewa na Kiongozi wa chama hicho, Dorothy Semu imemuelezea Papa Francis kuwa alikuwa kiongozi mnyenyekevu aliyehubiri haki na kutafuta…