JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Yah: Tuliambiwa watch out! Shauri yenu?

Naipenda sana Tanganyika ambayo mwaka 1964  nasikia mliamua kuibadilisha jina na kuiita Tanzania. Nilianza kuijua Tanzania wakati huo na sababu kubwa iliyonifanya niijue vizuri ni wito uliotolewa na wale vijana wawili ambao sasa wametangulia mbele ya haki –  Nyerere na Karume.

Ubingwa wa Euro sasa ni ama Hispania au Ujerumani

* Kompyuta za England kwa Italia ovyo

Kung’olewa kwa England katika robo fainali za michuano ya Kombe la Euro 2012 na kukamilisha idadi ya timu nne ambazo zitacheza nusu fainali, kumeziacha Hispania na Ujerumani zikipewa nafasi kubwa zaidi kwa mojawapo kuwa bingwa.

Mwanasheria Mkuu awamaliza Uamsho

*Asema wanataka kuipeleka Zanzibar vichakani

Mchakato wa kuandika Katiba Mpya umepata hamasa kubwa hasa visiwani Zanzibar. Huko kuna kundi la dini lijulikanalo kama Uamsho. Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Othman Masoud Othman, ameamua kuweka mambo sawa kwa kile anachoona jinsi kikundi cha Uamsho kinavyoipotosha jamii. Endelea…

Mkaa ni janga la kitaifa

Nimemsikia Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, aliihoji Serikali ili ieleze mipango ya haraka ya kuokoa theluji katika Mlima Kilimanjaro.

Waislamu wapuuzeni kina Ponda

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limetangaza rasmi kutoshiriki sensa ya watu na makazi inayotarajiwa kufanyika Agosti, mwaka huu.

Maradona, toka Mwanasoka Bora wa Dunia hadi teja la mihadarati

ALIZALIWA Oktoba 30, 1960 katika jiji la Buenos Aires, Argentina, kutokana na ndoa ya Diego Maradona na mkewe, Dalma Salvadore ambapo pia naye akaitwa Diego Maradona, kisha akatokea kuwa mwanasoka aliyetamba duniani.