Category: MCHANGANYIKO
Lundenga: Miss Tanzania imeitangaza nchi
Kwa muda wa miaka 18 iliyopita, mashindano ya Mrembo wa Tanzania yamekuza utamaduni, utalii na uwekezaji wa kigeni. Si hilo tu, mashindano haya yamewapa fursa mpya ya kujitambua wasichana Watanzania, anasema mwandaaji wa mashindano hayo, Hashim Lundenga.
Chadema sasa wadai rasmi Serikali ya Tanganyika
Hii ni sehemu ya maoni ya Msemaji Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) Tundu Lissu kuhusu Mpango wa Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) kwa mwaka wa fedha wa 2012/2013. Endelea
Katika maoni yetu kuhusu Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni ilionyesha jinsi ambavyo “tafsiri hii mpya ya Makubaliano ya Muungano na Katiba ya Jamhuri ya Muungano imetiliwa nguvu kubwa na Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ambayo imeipa Zanzibar nafasi na ushawishi mkubwa katika utungaji wa Katiba Mpya.”
Waislamu, Walokole pigeni moyo konde
Kwa karibu miaka miwili sasa nimejiepusha kuandika mada zinazohusiana na masuala ya dini, hasa Uislamu. Niliacha kuandika si kwa sababu nyingine bali kujipa muda niweze kupima upepo, kuangalia mustakabali wa taifa hili na hatimaye kuwa na mawazo muwali yatakayoniwezesha kutoa…
Balotelli aichanganya Italia
…Ageuka pia kuwa shujaa barani Afrika
Mapema mwaka huu, Mario Balotelli aliachwa katika timu ya taifa ya Italia (Azzurri) iliyocheza na Marekani Jumamosi, Februari 29, lakini Alhamisi iliyopita ghafla aliichanganya Italia alipoipeleka kucheza mechi ya fainali za Euro 2012 hapo juzi, Jumapili, dhidi ya Hispania mjini hapa.
Kero ya ombaomba wa London
Kwa asili nachukia kuomba bila sababu na nilijengewa tabia hiyo na wazazi waliotumia vyema nguvu zao kujitegemea na kututegemeza.
Waislamu wenye akili hawa hapa
Siku kadhaa zilizopita nilikuwa miongoni mwa wale tuliotoa wito kwa wapendwa ndugu zetu Waislamu, kuwapuuza kina Sheikh Ponda na mwenzake Kundecha – ambao kila mara wamekuwa vinara wa migogoro na kuibua mambo yasiyo na tija kwa Waislamu na Watanzania.
- Rais wa Zanzibar Mwinyi afunga ziara maalum ya mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania
- TAMWA, TCRA kutoa tuzo za wanahabari za ‘Samia Kalamu Award’
- WHO: Mazingira ya hospitali za Gaza ni duni na hayaelezeki
- Trump: Iran inatufanyia mchezo kuafikiana kuhusu Nyuklia
- Urusi : Sio rahisi kufikia amani Ukraine na Marekani
Habari mpya
- Rais wa Zanzibar Mwinyi afunga ziara maalum ya mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania
- TAMWA, TCRA kutoa tuzo za wanahabari za ‘Samia Kalamu Award’
- WHO: Mazingira ya hospitali za Gaza ni duni na hayaelezeki
- Trump: Iran inatufanyia mchezo kuafikiana kuhusu Nyuklia
- Urusi : Sio rahisi kufikia amani Ukraine na Marekani
- Chana awaasa wananchi Makete kuacha kuvamia maeneo ya hifadhi
- Picha za matukio mbalimbali Waziri Mkuu akiwa bungeni
- Kikwete awasilisha ujumbe maalum wa Rais Samia nchini Congo
- Bodi ya Maziwa kuanzisha bar za kisasa za maziwa
- Rais Mwinyi : Serikali inaendelea kuchukua hatua madhubuti kuimarisha sekta ya utalii
- Victor Tesha aongoza mageuzi mapya sekta ya madini baada ya kung’ara kwenye ubunifu
- LATRA yabainisha mafanikio kuanza kwa safari za saa 24
- LATRA yaeleza mafanikio ndani ya miaka minne ya Serikali Awamu ya Sita
- Soma Gazeti la Jamhuri Aprili 15 – 21, 2025
- Watakiwa kuwapuuza wanasiasa wanaotaka wasusie Uchaguzi Mkuu