Category: MCHANGANYIKO
Kivumbi Ligi Kuu Bara chaanza
Michuano ya Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom Tanzania Bara msimu huu, inaanza kutimua vumbi kwenye viwanja saba tofauti, Jumamosi wiki hii. Agosti 31, mwaka huu, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), lilitoa ratiba inayoonesha kuwa bingwa wa ligi hiyo atapatikana Mei 18, mwakani, wakati timu zote 14 zinazoshiriki zitakapokuwa uwanjani kuhitimisha mechi zake 26 kila moja.
Tanzania siku si nyingi haitatawalika
Kwa siku za karibuni nchi yetu imegubikwa na mambo mengi ya kuudhi. Taifa linapokuwa na polisi wezi, waporaji na wauaji, usitarajie kwamba litaendelea kuwa salama. Taifa linapokuwa na majaji kama wale tulioambiwa na Mheshimiwa Tundu Lissu, hakika tumekwisha.
Mwakyembe, Chambo wasitishwe
BAADHI ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), wamemwandikia barua Katibu Mkuu Kiongozi, Ikulu, Balozi Ombeni Sefue wakidai kuwa Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe anafanya kazi kwa kutumia majungu anayopelekewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Omar Chambo.
Yah: Nguvu ya maji yaja, mtaua wangapi?
Wanangu, ka-jua ka leo kananikumbusha mandhari ya miaka mingi kabla Tanganyika haijaanza kuwa jangwa la kutisha na kushindwa kuhimili hali ya ukame na wakati mwingine kukosa maji ambayo yanasababisha hadi tukose umeme na kusababisha kuyumba kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja na nchi.
Sumaye, Nagu katika vita kali
*Muhtasari wa kikao wachakachuliwa, jina la Dk. Nagu laingizwa
Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Wilaya ya Hanang’ mkoani Manyara, kinakabiliwa na mpasuko unaosababishwa na uhasama ulioibuka kati ya Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mary Nagu, na Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye.
Migogoro ya ardhi ni janga
Mhariri,
Kila siku migogoro ya ardhi inaripotiwa katika nchi yetu. Kuanzia Dar es Salaam hadi mikoani ni migogoro tu.
Habari mpya
- ‘Serikali Zanzibar inawalea watoto wanaotupwa au kutelekezwa ili kupata haki zao’
- Bilioni 13.46 kuleta mageuzi ya kilimo cha umwagiliaji Mangalali
- CCM yaonya wanaomwaga pesa kusaka udiwani, ubunge
- Bandari ya Dar yapewa hongera
- Hakutakuwa na kuvunjika kwa amani Dar es Salaam – Chalamila
- Serikali kuondoa kilio cha mafuriko Jangwani
- Wastafu soko la Kariakoo kulipwa milioni 306
- Tutazuia mazao ya Afrika Kusini, Malawi – Serikali
- Dk Biteko ashiriki mkutano wa EAPP nchino Uganda
- Madiwani Kibondo waridhia utekelezaji mradi wa umwagiliaji Lumpungu
- Polisi yapiga ‘stop’ mikusanyiko Kisutu Lissu atakapofikishwa mahakamani
- Wasira ampa majibu mfuasi CHADEMA aliyeomba CCM, Serikali imsamehe Lissu
- Tanzania yachangia bil.1.6/- kongamano la eLearning Africa
- RC Makonda aipongeza timu ya ‘Safari Field Challenge’
- Watu 50 wapoteza maisha DR Congo