Category: MCHANGANYIKO
Zaidi ya bilioni 19 kutumika kwa ujenzi wa barabara, madaraja Manyara – RC Sendiga
Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Simanjiro Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Cuthbert Sendiga amesema zaidi ya sh.bil.19 zimetengwa kwaajili ya ujenzi wa kujenga barabara na madaraja katika Halmashauri zote za Mkoa huo. Hayo alizungumza jana wakati akikagua zahanati mpya ya…
Wabunge waitaka Wizara ya Fedha iipe fedha Wizara ya TAMISEMI itekeleze majukumu yake
Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Dodoma WABUNGE mbalimbali wameipongeza Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa ufanisi wao ambao wamekuwa wakiufanya katika kuhakikisha miundombinu, elimu, afya na mambo mengine yanafanyika kwa ustadi mkubwa. Akichangia bungeni bajeti…
eMrejesho V2 yachaguliwa kuwania Tuzo za WSIS 2025
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Mfumo wa eMrejesho toleo la pili (eMrejeshoV2) kutoka Tanzania, umechaguliwa kuwania Tuzo za Mkutano wa Dunia kuhusu Jamii ya TEHAMA mwaka 2025 (World Summit on the Information Society -WSIS 2025). Tuzo hizi hutolewa chini ya Mkutano wa…
Makamu wa Rais kufungua Jukwaa la Pili la Kimataifa la Utalii wa Vyakula Arusha
Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango anatarajiwa kufungua Jukwaa la Pili la Kimataifa la Utalii wa vyakula la Shirika la Utalii Duniani (UN Tourism) Kanda ya Afrika lililoanza…
Serikali yakifungia kituo cha tiba Dar
Tarehe 16 Aprili 2025, Wizara ilipokea taarifa za uwepo wa tangazo katika mfumo wa picha mjongeo (Video Clip) lililosambaa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii hapa nchini lenye maudhui yenye kuhamasisha matumizi ya dawa aina ya Semaglutide (Ozempic) kupunguza unene uliopitiliza….
Wananchi Dodoma waipa heko bajeti ya TAMISEMI
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Ikiwa leo ni siku ya mwisho ya kujadiliwa kwa bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) wananchi mkoani Dodoma wamejitokeza kutoa maoni yao kuhusu bajeti hiyo kwa mwaka wa…