Category: MCHANGANYIKO
Mwakyembe, Chambo wasitishwe
BAADHI ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), wamemwandikia barua Katibu Mkuu Kiongozi, Ikulu, Balozi Ombeni Sefue wakidai kuwa Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe anafanya kazi kwa kutumia majungu anayopelekewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Omar Chambo.
Yah: Nguvu ya maji yaja, mtaua wangapi?
Wanangu, ka-jua ka leo kananikumbusha mandhari ya miaka mingi kabla Tanganyika haijaanza kuwa jangwa la kutisha na kushindwa kuhimili hali ya ukame na wakati mwingine kukosa maji ambayo yanasababisha hadi tukose umeme na kusababisha kuyumba kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja na nchi.
Sumaye, Nagu katika vita kali
*Muhtasari wa kikao wachakachuliwa, jina la Dk. Nagu laingizwa
Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Wilaya ya Hanang’ mkoani Manyara, kinakabiliwa na mpasuko unaosababishwa na uhasama ulioibuka kati ya Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mary Nagu, na Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye.
Migogoro ya ardhi ni janga
Mhariri,
Kila siku migogoro ya ardhi inaripotiwa katika nchi yetu. Kuanzia Dar es Salaam hadi mikoani ni migogoro tu.
Mabaraza ya Kata yamesahaulika
Mhariri
Mabaraza ya Kata yameanzishwa kwa mujibu wa Sheria Na. 7/85 lakini halmashauri zinazosimamia mabaraza haya zimeyatelekeza kabisa. Mimi ni Katibu wa Baraza la Kata Kwashemshi. Tangu tuteuliwe mwaka jana hakuna mafunzo yoyote yaliofanyika, kitendo ambacho ni hatari sana. Mabaraza haya yamepunguza sana mlundikano wa kesi katika Mahakama za Mwanzo na Baraza la Ardhi na Nyumba Wilaya. Napenda niishauri Serikali yangu kwamba elimu kwa wajumbe hawa ni muhimu sana, kwani ni sehemu nyingi wajumbe wanalalamika kwamba wametelekezwa. Tatizo hili halipo kwa Baraza la Kata Kwashemshi tu bali mabaraza mengi nchini malalamiko ni haya haya.
Waziri Kagasheki atazame kasoro hii
Mhariri Kwanza tunampongeza Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki kwa jitihada anazozifanya za kusafisha Wizara ya Maliasili na Utalii na Taasisi zake kwa jumla kwa kuondoa uozo uliokuwamo ndani kwa kipindi kirefu. Wakati jitihanda hizo zikifanyika,…
- Mifumo rafiki ya upatikanaji wa nyaraka iwekwe kuwafikia wananchi kwa wakati
- Almasi, dhahabu yaipaisha Shinyanga, fursa bado zipo njooni – Mapunda
- Urusi yakubali kumaliza vita Ukraine
- Kamati ya Bunge yaridhishwa utekelezaji mradi wa umwagiliaji Nyida, Shinyanga
- Waziri Ndumbaro awashangaa wadhamini wa taasisi wasio na weledi
Habari mpya
- Mifumo rafiki ya upatikanaji wa nyaraka iwekwe kuwafikia wananchi kwa wakati
- Almasi, dhahabu yaipaisha Shinyanga, fursa bado zipo njooni – Mapunda
- Urusi yakubali kumaliza vita Ukraine
- Kamati ya Bunge yaridhishwa utekelezaji mradi wa umwagiliaji Nyida, Shinyanga
- Waziri Ndumbaro awashangaa wadhamini wa taasisi wasio na weledi
- Rais ashiriki mkutano wa dharura wa SADC kwa mtandao
- Rais Mstaafu Kikwete aenda Japan kwa ziara maalum yenye lengo la kuimarisha elimu
- Tanzania Kushiriki Maonesho ya Expo Osaka mwezi ujao
- Vijiji vya Milo, Buyuni vyakabiliwa na mgogoro wa wakulima na wafugaji, wasitisha kilimo
- Wafanyakazi wanawake TPA watoa msaada hospitali za Temeke na Kigamboni
- Majaliwa azindua kituo cha mabasi Nzega Mjini
- SEforALL kuimarisha ushirikiano upatikanaji nishati endelevu
- Wachimbaji wadogo wampa tano Rais Samia
- Vijana wawatupia lawama Wachina
- Serikali itaendeleza mikakati ya kukuza sekta ya mifugo- Majaliwa