Category: MCHANGANYIKO
Kagasheki atiwa majaribuni
Kundi la wafanyabiashara kadhaa wa tasnia ya uwindaji wa kitalii, limekutana nchini Marekani na kuendesha mchango wa mabilioni ya shilingi kufanikisha ugawaji upya wa vitalu vya uwindaji.
RATIBA YA AFCON 2013
Jumanne 29 Januari, 2013 Ethiopia vs Nigeria saa 3:00 usiku Burkina Faso vs Zambia saa 3:00 usiku Jumatano 30 Januari, 2013 Algeria vs Ivory Coast saa 3:00 usiku Togo vs Tunisia…
Rodgers: Suaresz haendi Anfield
Kiongozi wa Liverpool, Brendan Rodgers, amejitokeza kukanusha uvumi kwamba mchezaji Luis Suarez yuko njiani kuhamia Anfield.
Okwi awanyong’onyesha Simba
Pengo lililoachwa na mshambuliaji mahiri wa kikosi cha Simba, Emmanuel Okwi, limewanyong’onyesha mashabiki kiasi cha kupungukia matumaini ya kuona timu hiyo ikifanikiwa kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka ya Vodacom Tanzania Bara, msimu huu.
Yah: Kama nikichaguliwa kuwa rais nitafanya yafuatayo
Wanangu, ningependa mpokee mawazo yangu muone, je, kuna tija yoyote ya kuwa mbele katika mambo ambayo mimi niko nyuma kama wazee wengine wa zamani; na kwamba uzembe huo wa kutokwenda na wakati ninyi mwendao na wakati mmefanikiwa kwa kiwango gani!
Huhitaji mtaji kuanzisha biashara!
Miaka ya karibuni, dhana ya ujasiriamali imeenea kwa kasi kubwa miongoni mwa wanajamii. Kwa sasa kila kona tunasikia ujasiriamali – kanisani, mitaani, vyuoni na katika mikutano ya kisiasa kunahubiriwa ujasiriamali. Hata hivyo, kuna kibwagizo kinachojirudia kila zinapotajwa changamoto za ujasiriamali – ukosefu wa mitaji!