Category: MCHANGANYIKO
Ras Inno: Nimedhamiria kufufua muziki wa reggae
Dhana kwamba muziki wa reggae umepigwa kumbo hapa Tanzania na kudorora, ikilinganishwa na aina nyingine za muziki, imepingwa na kupatiwa majibu ya kuupenyeza muziki huo kwa mashabiki wake kwa kuurudishia mashiko kama ilivyokuwa zamani.
King Majuto aalikwa Rwanda
Msanii maarufu wa maigizo ya runinga nchini, Amri Athumani (65), maarufu King Majuto amealikwa nchini Rwanda.
Barcelona, Milan hapatoshi
Hatimaye timu maarufu ya Barcelona, leo inashuka dimbani kupepetana na timu ngumu ya nchini Italia – AC Milan, katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya (UEFA).
Yah: Kwanini mtu achukiwe kiuongozi?
Nakumbuka mwaka 1995 niliingia katika kinyang’anyiro cha ubunge, lakini katu sitataja jimbo husika kwa sababu za kiusalama, na nimeamua kugombea tena mwaka 2015 insha’allah Mwenyezi Mungu akinipa uhai na afya njema.
Kuukataa unafiki kumemponza Kibanda
Absalom Kibanda, mmoja wa wanahabari mahiri katika Taifa letu, mara zote amekuwa hasiti kunitaja kama “mwalimu” wake.
FASIHI FASAHA
Je, wanahabari hawajui wanajua?
Katika jamii ya kibinadamu, yako makundi manne ya watu yanayotofautiana katika kuishi na kufanya kazi. Asili ya tofauti yao ni upeo na uwezo wa kufikiri, kutamka na kutenda mambo kupambana na mazingira waliomo.