JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

KAULI ZA WASOMAJI

Gharama za maisha zinatuelemea

Tanzania tunakwenda wapi jamani, gharama za maisha zinapanda na kuongezeka kila kukicha, sasa tumeanza kutozwa kodi ya kulipia laini za simu za mkononi! Enyi viongozi tuliowapa dhamana tutazameni Watanzania kwa jicho la huruma.

Aziz Msafiri, Dodoma

0757 100079

Makinda anaelekea kufilisika, majeshi ya Chadema, CCM makaburi yetu 2015

Mpendwa msomaji, natumaini hujambo na unaendelea na shughuli zako za kila siku, huku wengine nikiamini kuwa mmepigika mifukoni sawa na mimi.

Afrika inaelekea kutawala uchumi wa dunia (2)

 

Nianze kwa kuomba radhi wasomaji kwa makosa ya kiuchapishaji katika kichwa cha makala haya sehemu ya kwanza: Afrika inaelekea kutawala uchumi wa Afrika (1), badala ya Afrika inaelekea kutawala uchumi wa dunia (1).

 

Hofu yatanda uwekezaji Kurasini

. Wanaohamishwa hawajui watakacholipwa

. RC Dar, diwani wawataka wavute subira

. Tibaijuka, Nagu watafutwa bila mafanikio

Hofu ya kuchakachuliwa fidia imetanda miongoni mwa wananchi wanaohamishwa kupisha ujenzi wa Kituo cha Uwekezaji cha Kimataifa katika Kata ya Kurasini, jijini Dar es Salaam.

Mradi huo utajengwa kwa ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na China katika eneo lenye ukubwa wa hekta 670 (sawa na ekari 1,675). Inaelezwa kuwa kiasi cha Sh bilioni 90.4 kimetengwa kugharimia ujenzi huo.

NUKUU ZA WIKI

Julius nyerere: Usipowapa wengi watanyakua

“Utaratibu wowote unaowanyima wengi haki yao hauwezi ukaitwa demokrasia… Waswahili wanasema: Wengi wape, usipowapa watanyakua wenyewe.”

Haya ni maneno ya Baba wa Taifa la Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, wakati akihimiza demokrasia ya kweli.

Muhudumu Muhimbili aeleza vibweka vya mochari

Ni kawaida kwa vijana kuomba kazi katika ofisi za mashirika na taasisi mbalimbali za serikali na zisizo za kiserikali zenye mazingira mazuri kiutendaji, lakini  imekuwa tofauti kwa vijana hao  kuomba kazi katika Chumba cha Kuhifadhia Maiti (mochari).   Hatua hiyo…