JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Makamu wa Rais kufungua Jukwaa la Pili la Kimataifa la Utalii wa Vyakula Arusha

Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango anatarajiwa kufungua Jukwaa la Pili la Kimataifa la Utalii wa vyakula la Shirika la Utalii Duniani (UN Tourism) Kanda ya Afrika lililoanza…

Serikali yakifungia kituo cha tiba Dar

Tarehe 16 Aprili 2025, Wizara ilipokea taarifa za uwepo wa tangazo katika mfumo wa picha mjongeo (Video Clip) lililosambaa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii hapa nchini lenye maudhui yenye kuhamasisha matumizi ya dawa aina ya Semaglutide (Ozempic) kupunguza unene uliopitiliza….

Wananchi Dodoma waipa heko bajeti ya TAMISEMI

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Ikiwa leo ni siku ya mwisho ya kujadiliwa kwa bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) wananchi mkoani Dodoma wamejitokeza kutoa maoni yao kuhusu bajeti hiyo kwa mwaka wa…

Ulega atoa siku 30 kwa mkandarasi barabara ya Nsalaga – Fisi kuweka lami

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega ametoa siku 30 na kumtaka Mkandarasi Kampuni ya CHICO anayetekeleza ujenzi wa upanuzi wa barabara ya Nsalaga – Ifisi (km 29) kwa njia nne, jijini Mbeya kuongeza kasi ya ujenzi…

Kambi ya madaktari bingwa, Comoro yaipa sifa Tanzania

…JKCI, Global Medicare wawasilisha ripoti serikalini Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KAMBI ya matibabu iliyofanywa na madaktari bingwa wa Tanzania nchini Comoro imekuwa ya mafanikio makubwa kwani wananchi zaidi ya 2,270 waliokuwa na changamoto za kiafya walipata tiba….

Mbunge Byabato ameiweza Bukoba

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Bukoba Julai 23, 2024 niliandika makala yenye kichwa cha habari kisemacho: “Rais Samia ana maamuzi magumu.” Makala hii niliiandika baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutengua uteuzi wa aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya…