Category: MCHANGANYIKO
Yah: Mwakyembe, ATC ya Boeing iko wapi?
Kwanza nianze kwa kutoa pole kwa Watanzania wote kutokana na kifo cha Baba wa Taifa la Afrika Kusini, Nelson Madiba Mandela.
EFD kuongeza mapato ya Serikali – 2
Katia toleo liloyopita mwandishi wa makala haya alizungumzia mambo mbalimbali yanayohusu ubora, nia na malengo ya Serikali kutumia mashine za kutolea stakabadhi za malipo. Leo anazungumzia matumizi na nani anayeruhusiwa kutengeneza na kusambaza, na nani anayetakiwa kutumia mashine hizo. Endelea…
Samata, Ulimwengu kuibeba ‘Kili’ Chalenji
Wachezaji wa TP Mazembe (DRC), Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu wametajwa kuwa ndiyo wachezaji watakaongoza Jahazi la timu ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars, kutwaa Kombe la Chalenji mwaka huu. Tangu kujiunga kwa wachezaji hao katika timu hiyo kumeonesha kung’ara. Samata …
Nelson Mandela: Mwana masumbwi hodari
Katika kitabu chake cha “Long Walk to Freedom”, Nelson Mandela hakuficha kueleza mapenzi yake katika mchezo alioupenda na kuucheza – mchezo wa masumbwi.
NUKUU ZA WIKI
Bill Getes: Kukumbuka ulipokosea ni muhimu
Ni vizuri kusherehekea mafanikio lakini ni muhimu zaidi kukumbuka uliposhindwa awali.
Kauli hiyo ilitolewa na mfanyabiashara mkubwa wa Marekani na Mwenyekiti wa Microsoft. Bill Gates.
Kwaheri Dk. Mvungi, turejeshe mabalozi wa nyumba 10
Wiki iliyopita ilikuwa ya majonzi makubwa kwangu, na naamini kwa Taifa letu kwa jumla.
Tumempoteza mwanasheria mahiri, Dk. Sengondo Edmund Mvungi, aliyevamiwa na majambazi nyumbani kwake Kibamba na kucharangwa mapanga. Baada ya Dk. Mvungi kucharangwa mapanga, alipelekwa Hospitali ya Mifupa Muhimbili (MOI) na baadaye akakimbizwa nchini Afrika Kusini, alikofia.