Category: MCHANGANYIKO
Mrema ni mtu hatari sana — Leo Lwekamwa
*Asema aliwahi kuitosa TLP dakika za mwisho na kuhamia NCCR-Mageuzi
*Mwanzo ilikuwa ahamie Chadema, Mtei akamkatalia akijua…
*Adai ana mipango ya Serikali
* Aamua kurudi CCM kujisalimisha
Man. United ipo kazi mwaka huu
MK Group ilivyotesa miaka ya 1990
Bendi ya MK Group ilikuwa maarufu kwenye miaka 1990, iliyokuwa imejikita kupiga muziki katika hoteli za kitalii hapa nchini. Lakini kabla ya kuanzishwa kwake, kulikuwa na bendi ya mama, ya African Stars iliyoanzishwa Julai 1, 1994, katika Hoteli ya Bahari Beach Dar es Salaam.
Unyonge wa Mwafrika – 2
Juma lililopita nilizungumzia kwa ufupi unyonge wa Mwafrika, ambao Mwalimu Julius Nyerere amesema unyonge huo uko wa aina mbili. Unyonge wa kwanza amesema ni unyonge wa MOYO, unyonge wa ROHO. Unyonge wa pili ni unyonge wa UMASKINI.
Yah: Tumalizeni, lakini kumbukeni wapigakura wenu
Sasa ni miaka kama kumi hivi tangu Serikali ilipotangaza ajira za vijana wapigakura na wenye uchu na maisha bora kama nafasi milioni moja, katika ajira hizo bila kufanya utafiti wa kina naweza nikasema robo tatu ya ajira hizo ni udereva wa pikipiki.
Rais ajaye asipoitupa hii Rasimu tutashangaa!
Nashawishika kuamini kuwa kama Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage
Nyerere, angekuwa hai, jambo moja kubwa ambalo angelipinga kwenye
Habari mpya
- Kamati ya Bunge yapongeza miradi ya TEHAMA, yataka wabunifu walindwe
- Wachimbaji wadogo waishukuru Serikali
- Nchi 43 kupigwa marufuku kusafiri Marekani
- Marekani yamfukuza balozi wa Afrika Kusini kwa kumchukia Rais Trump
- Dkt. Ndumbaro azitaka Bodi za Wadhamini zising’ang’anie madaraka
- Prof. Janabi miongoni mwa wagombea watano kumrithi Ndugulile WHO
- Waziri Kikwete aitaka Bodi ya Wadhamini NSSF kuzingatia miongozo
- Watanzania waombwa kuchangamkia fursa za masomo India
- Zaidi ya leseni 4,000 kutolewa Mbogwe
- Tanzania, Barbados kuimarisha ushirikiano
- Mkenda: Tutaendelea kuimarisha ushirikiano sekta ya nguo na mavazi
- Simba yaifanyia umafia Dodoma Jiji, yainyuka 6 -0
- Tanzania, Ireland kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na maendeleo
- Kamati ya Bunge yaridhishwa na utendajikazi wa TPA bandari ya Tanga
- Askari wa Usalama Barabarani Mlandizi watakiwa kuendelea kusimamia vyema sheria