Category: MCHANGANYIKO
Rais Kikwete anaihujumu CCM!
Kuna siku nilikuwa eneo moja la katikati ya Victoria na Makumbusho jijini Dar es Salaam, tukijadili mambo mbalimbali likiwamo la matokeo ya uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru Mashariki. Hapo kuna mtu aliibua hoja ya hali aliyonayo Rais Jakaya Kikwete kwa sasa.
Jaji Warioba natarajia urejeshe Tanganyika yetu –2
[caption id="attachment_2" align="alignleft" width="158"]Deodatus Balile[/caption]Wiki iliyopita nilihitimisha makala yangu kwa kukueleza jambo muhimu mpendwa msomaji. Hitimisho langu lililenga katika kukujuza japo kwa ufupi Jaji Warioba ni nani.
Mabiti azingatie onyo la wananchi wa Simiyu
Machi 28, mwaka huu wananchi wa Simiyu walimtahadharisha Mkuu wa Mkoa huo, Paschal Mabiti, dhidi ya genge la wafanyabiashara wakubwa wa pamba, vinginevyo “watamuweka mfukoni”. Mabiti aliyeteuliwa hivi karibuni kushika nafasi hiyo na kupangiwa kwenda huko, alikuwa Mkuu wa Wilaya…
Huyu ndiye Kanumba niliyemfahamu
Kulikuwa na vilio na simanzi Mtaa wa Vatican, Sinza Dar es Salaam, nyumbani kwa aliyekuwa mwigizaji maarufu ndani na nje ya Tanzania, Steven Charles Kanumba ‘The Great’. Kanumba alifariki dunia alfajiri ya kuamkia Aprili 7, mwaka huu.
Kimbembe cha petroli London kama Dar
Wakati Jiji la Dar es Salaam lilipokumbwa na zahama ya ukosefu wa mafuta na vurugu kwenye vituo vya petroli na dizeli, sote tulibaki vinywa wazi.
‘Ushindi wa Nassari ni hukumu kwa mafisadi’
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa, amesema ushindi wa Joshua Nassari katika Jimbo la Arumeru Mashariki, ni hukumu mpya ya vitendo vya ufisadi vinavyofanywa na viongozi wa Serikali.