Category: MCHANGANYIKO
Namna ya kumsaidia ndugu yako kupata dhamana Polisi
DHAMANA NININI? Dhamana ni hatua ambayo mtuhumiwa wa kosa fulani huachiwa huru kwa muda, ili kusubiri hatua za kufikishwa mahakamani, au kama tayari amefikishwa mahakamani husubiri kuendelea na kesi kwa siku zijazo. Kwa hiyo, ili lije suala la dhamana ni…
Ni vigumu kutokomeza ukeketaji
Vita dhidi ya ukeketaji kwa wasichana na kinamama Wilaya ya Tarime mkoani Mara, inaweza kuwa ngumu kwa sababu mangariba huchukulia jambo hilo kama ajira licha ya kuwa ni ya msimu tu, likifanyika kila Desemba. Taarifa kwamba wanafaidika kiuchumi imetolewa na…
Salum Abdallah aliuza nyumba kununua vyombo vya muziki
Mji wa Morogoro ni miongoni mwa miji iliyokuwa maarufu kwa michezo na burudani katika miaka ya 1950, 1960 na ya 1970. Watu wengi walitoka Dar es Salaam na kwenda kufanya starehe za kumaliza wiki mjini humo. Hali ya hewa…
Siri ya Ugaidi
Kitendo cha nchi za Afrika Mashariki na Kati kuandaa mafunzo ya kudhibiti ugaidi, kinaelezwa kuwatia hasira kundi la al-Shaabab hadi kuvamia na kuua watu zaidi ya 150 nchini Kenya. Jumla ya askari 300 kutoka nchi za Burundi, Rwanda, Tanzania,…
Rais Buhari kuinusuru Nigeria
Hakuna ubishi kwamba Marekani ni taifa kubwa kwa kujiimarisha kiuchumi na kiusalama. Kadhalika, hakuna ubishi kwamba rais wa Marekani ndiye anayetafsiriwa kuwa ni kiongozi wa dunia. Hii inatokana na vyombo vikubwa vya uamuzi kama vile Umoja wa Mataifa (UN) vinaisikiliza…
Walimu, wanafunzi wataja sababu matokeo mabovu
Kama ilivyoripotiwa katika toleo lililopita kwamba umbali mrefu kati ya shule za sekondari za kata na makazi ya wanafunzi, unachangia kwa kiasi kikubwa ‘anguko’ la wanafunzi katika matokeo ya mwisho ya wahitimu wa kidato cha nne kila mwaka. Uchunguzi uliofanywa…