JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

TAHLISO YATOA TAMKO KUHUSU WANAFUNZI WANAOTAKA MWIGULU AJIUZULU KWA KIFO CHA AKWILINA.

  Mwenyekiti wa Tahlisi George Albert  Mnali  wa pili kutoka kulia akizungumza na baraza Kuu la Senate leo  kushoto ni Katibu Mkuu wa Tahliso John Mboya kulia ni Katibu wa Baraza hilo Faidhaa Msangi na kulia ni Kaimu Makamu Mwenyekiti…

WAZIRI UMMY AIKABIDHI TIMU YA COASTAL UNION KIWANJA,AWAHIDI NEEMA

  WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga katika akiwa na baadhi ya viongozi wa timu ya Coastal Union wakati akipokwenda kuwakabidhi kiwanja eneo la Maweni Jijini…

MAENDELEO NI KAZI 11

Wiki iliyopita katika maandiko ya Mwalimu tuliona katika kitabu cha “Maendeleo ni Kazi”chama kimetoa maagizo ambayo yanatakiwa kutekelezwa na uongozi. Tuendelee Elimu ya watu wazima. Elimu ya watu wazima ni shughuli nyingine ambayo chama kimeshughulikia kutokana na agizo la mkutano…

Yasome hapa magazeti ya leo Jumanne Februari 27, 2018

GAZETI YA LEO JUMANNE FEBRUARI 27, 2018

DK.KAMANI AWAONYA VIONGOZI VYAMA VYA USHIRIKA NCHINI

MWENYEKITI wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika,Dk.Titus Kamani amesema Serikali kupitia tume hiyo ni awaelekeza viongozi wa Vyama vya Ushirika kutojihusisha kuuza mali za vyama hivyo pasipo kuzingatia sheria.   Hivyo amesema hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watakaobainika…

YANGA YAIFUATA MAJIMAJI, SONGEA KUCHEZA MCHEZO WAO WA 16 BORA KOMBE LA FA KESHO JUMAPILI

  Kikosi cha Yanga leo kinatarajia kusafiri kuelekea Mkoani Songea kucheza na Majimaji katika mechi yao ya kesho Jumapili ya 16 Bora ya Kombe la FA. Yanga inakwenda Songea ikiwa ni siku moja tu tangu iliporejea kutoka Victoria, Shelisheli ambako…