Category: MCHANGANYIKO
SIMBA KUTANGULIA KENYA KWENYE MASHINDANO YA SPORTPESA
Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba walitarajiwa kuondoka leo na kikosi cha watu 25 kwenda nchini Kenya ambao itafanyika michuano ya Kombe la SportPesa Super Cup. Michuano hiyo itaanza Juni 3 hadi 10 ikishirikisha timu 8 kutoka Tanzania Bana na…
TFF YAONGEZA MPUNGA KWA BINGWA WA KOMBE LA FA
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeongeza zawadi ya mshindi wa Kombe la Shirikisho ‘Azam Sports Federation Cup’ ili kuzidi kuongeza hamasa ya mashindano hayo. Kwa mujibu wa Afisa Habari wa Shirikisho hilo, Clifford Ndimbo, amesema kuwa zawadi ya mshindi wa…
Walioshtakiwa ulaji rushwa Kenya kukaa rumande wiki moja
Watuhumiwa 24 walioshtakiwa kuhusiana na kashfa ya ufujaji wa pesa katika Shirika la Vijana wa huduma kwa Taifa (NYS) watakaa rumande kwa wiki moja. Jaji ameamuru wazuiliwe hadi Jumatano wiki ijayo ambapo uamuzi wa kuachiliwa kwa dahamana utatolewa. Miongoni mwa…
Sterling ameeleza sababu za kuchora tattoo ya bunduki mguuni
Staa wa timu ya taifa ya England anayecheza club ya Man City inayoshiriki Ligi Kuu England Raheem Sterling baada ya headlines za muda mrefu na watu kuhoji kwa tattoo yake ya bunduki mguuni ameamua kufunguka. Raheem Sterling ambaye ni raia…
Simba, Yanga,Gor Mahia, AFC Leopard Kukutana kwenye Mashindano ya SportPesa Super Cup
Baada ya kushindwa kutamba mbele ya Azam FC kwa kupata kipigo chama bao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara, Yanga imeanza kujipanga na mashindano ya SportPesa Super Cup. Michuano hiyo inatarajia kuanza Juni 3 mpaka 10 jijini Nairobi nchini…
Mohamed Salah: Nina ‘matumaini makubwa’ ya kucheza Kombe la Dunia Urusi 2018
Mshambuliaji wa Liverpool na Misri Mohamed Salah amesema ana uhakika wa kuwepo kwenye michuano ya kombe la dunia baada ya kupata majeraha ya bega kwenye mchezo wa fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid. Salah, 25, aliondoka…