Category: MCHANGANYIKO
Uwanja wa Ndege Mwanza ni aibu
Watumiaji wa Uwanja wa Ndege wa Mwanza watakiri kuwa uwanja huo ni kiungo muhimu sana kwa shughuli za kibiashara, kijamii na hata kisiasa.
FASIHI FASAHA
Serikali na kurupushani ya mchezo wa nyoka
Nilipokuwa na umri wa miaka saba hadi 12, nilicheza michezo mingi ukiwamo mchezo wa nyoka. Mchezo unachezwa na idadi sawa ya watoto katika makundi mawili. Kundi la watoto na la wengine wanojifanya kuwa nyoka.
FIKRA YA HEKIMA
Nimeipenda kauli ya Mbowe Mbeya
Kwa mara nyingine, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ameendelea kudhihirisha mng’aro wake katika nyaja ya siasa nchini.
Tumechezea elimu, sasa tukumbatie Bima ya Afya
Wiki iliyopita Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) na wahariri na waandishi walikutana mjini Mtwara. Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Dk. Emmanuel Humba, na maafisa waandamizi wa mfuko huu wameeleza vyema mafanikio chini ya mfuko huu.
Taifa limefikishwa mahali pabaya
Nguvu na Mamlaka ya Umma ni maneno matano yanayobeba dhana pana ya falsafa ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo – CHADEMA. Kwa wale ambao kwa bahati mbaya au hata kwa makusudi ni wavivu wa kufikiri, wazo au hata matumizi ya misuli siyo maana wala lengo la falsafa hiyo.
RATIBA YA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA
Jumatano Februari 27, 2013 Coastal Union Vs Ruvu Shooting Yanga SC Vs Kagera Sugar Polisi Moro Vs Mgambo JKT JKT Ruvu Vs Totot Africans Mtibwa Sugar Vs TZ Prisons