Category: MCHANGANYIKO
FIkRA YA HEKIMA
Tanzania imefilisika wanasiasa wakweli
Tanzania inaweza kuwa ndiyo nchi pekee katika Afrika na pengine duniani, yenye idadi kubwa ya viongozi wa kisiasa waongo na wanafiki kupindukia!
Watanzania wasaka kura BBA
Watanzania wanaoshiriki shindano la Big Brother Afrika (BBA) wanasaka kwa udi na uvumba kura za kuwawezesha kuendelea katika shindano hilo linalofanyika Johannesburg, Afrika Kusini.
FikRA YA HEKIMA
Ulinzi wa wanyamapori liwe jukumu la kila mtu
Sekta ya utalii ina nafasi kubwa ya kuendelea kuinua uchumi wa taifa letu, ikiwa kila Mtanzania atawajibika kulinda rasilimali za wanyamapori na mazingira hai.
FASIHI FASAHA
Haki, ukweli ni nguzo za amani (2)
Juma lililopita nilisema baadhi ya viongozi wa dini, siasa na Serikali pamoja na wananchi vibaraka ni vyanzo vya kuhatarisha uvunjifu wa amani nchini, kutokana na kuweka kando maadili na miiko ya uongozi na kutozingatia kauli ya Mwenyezi Mungu kuhusu haki, ukweli, uongo, upendo na ukarimu.
Sisi bodaboda wao wachukue madini
Wiki iliyopita niliandika maono yangu juu ya kifo cha Tanzania. Nimepata ujumbe wa maandishi na simu nyingi. Wapo walioniunga mkono, wengine wamenishambulia. Kwangu, yote ni heri, kwani hiyo ndiyo faida ya demokrasia na uhuru wa kutoa mawazo.
Kenya, Malawi zilivyolingana nguvu
Timu za soka za Malawi na Kenya, wiki iliyopita zilidhihirisha kulingana nguvu kwa kufungana mabao 2-2 mjini Blantyre, katika mechi ya kufuzu kucheza Fainali za Kombe la Dunia.