Category: MCHANGANYIKO
Chelsea yaipokonya tonge mdomoni Spurs
Hatimaye Klabu ya Soka ya Chelsea ya Uingereza imekubali kulipa kiasi cha pauni millioni 30 sawa na bilioni 75 za kitanzania, kumsajiliwa kiungo mchezaji Willian Borges da Silva, kutoka klabu ya Urussi Anzhi Makhachkala.
Amogolas afurahia maisha mapya
Msanii mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Hamis Kiyumbi ‘Amogolas’ ambaye kwa sasa ameachana na bendi yake ya zamani ya African Stars Twanga Pepeta, amesema anafurahia maisha ya kuanza kufanya muziki wa kujitegemea.
Mshiriki Big Brother akiri kubwia ‘unga’
Aliyekuwa mwakilishi wa Kenya katika mashindano ya Big Brother Afrika mwaka huu, Huddah Monroe, amekanusha tuhuma dhidi yake kwamba ana Virusi vya Ukimwi kutokana na mwili wake kupungua kupita kiasi.
‘Unga’ unavyowatafuna wasanii wetu
Hali inaonesha kwamba wasanii wa Tanzania wamekuwa wadau wakubwa katika mzunguko wa biashara ya dawa za kulevya.
Bukoba nani anasema ukweli?
Nchi hii kila kukicha inaacha maswali mengi. Mwanzo niliamua kunyamaza, lakini leo naona ni bora nihoji. Nahoji kutokana na taarifa zinazosambaa na kuzua mgogoro mkubwa ajabu katika mji wa Bukoba. Hapa inadaiwa kuna mapapa wawili – Mbunge Balozi Khamis Kagasheki na Meya Anatory Amani.
Ray C awalaani wauza ‘unga’
Msanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya nchini, Rehema Chalamila maarufu kama Ray C, amewalaani watu wanaofanya biashara ya kuuza dawa za kulevya nchini, akisema wanaharibu maisha ya vijana wengi.