JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Vifo vya ajali vyafikia 15 Morogoro

Idadi vifo vilivyotokana na ajali iliyohusisha gari ndogo ya abiria aina ya Coaster iliyokuwa ikitokea mkoani Morogoro kuelekea Jijini Dar -es Salaam kugongana uso kwa uso na gari kubwa la mizigo lililokuwa likitokea Jijini Dar es Salaam kuelekea mkoani Morogoro…

Msigwa: Vyombo vya habari 1,200 vimesajiliwa nchini

KATIBU Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema vyombo vya habari zaidi ya 1200 vimesajiliwa na kuajiri makundi mbalimbali ya watu wakiwemo watangazaji na mafundi mitambo Msigwa amesema hayo leo Desemba 18,…

NIDA yapewa miezi miwili kusambaza vitambulisho 1.2 vilivyotengenezwa

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa miezi kwa miwili Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhakikisha vitambulisho milioni moja na laki mbili ambavyo tayari vimeshatengenezwa vinasambazwa na kuwafikia Wananchi walengwa. Waziri Bashungwa amesema hayo leo Disemba…

Watu 14 wafariki kwa ajali, saba wajeruhiwa Morogoro

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Watu 14 wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa baada ya gari kubwa la mizigo kugongana uso kwa uso na gari dogo la abiria majira ya saa 2 usiku eneo la Mikese Mkoani Morogoro. Kwa mujibu…

Ubunifu waiongezea Serikali mapato Pori la Akiba Uwanda

Hatua iliyochukuliwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) ya kuruhusu shughuli za uvuvi endelevu ambazo awali hazikuwa zinafanyika ndani ya Pori la Akiba Uwanda lililopo wilaya ya Sumbawanga Mkoani Rukwa imekuwa chanzo cha kupungua Kwa ujangili, ongezeko la…