Category: MCHANGANYIKO
Rais anasubiri nini kuifumua Wizara ya Elimu
kama tujuavyo imebaki miaka miwili Rais aliyepo madarakani Jakaya Mrisho Kikwete amalize muda wake kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tayari tumemsikia Rais Kikwete akijivunia utendaji wake Amesema kwamba wale walioendelea kumsema vibaya kwamba chini ya uongozi wake Tanzania haikupata maendeleo wataoona aibu atakampomaliza muda wake. Atakuwa ameiacha Tanzania ikiwa na maendeleo yasiyo na kifani.
Mwarobaini hutibu mnyauko wa migomba
Mwarobaini ni mojawapo ya mimea maarufu yenye kinga dhidi ya wadudu waharibifu. Ndani yake kuna dawa inayoweza kutolewa kwa urahisi na kutayarishwa na kutumika kama dawa ya mimea ya kuulia wadudu.
Tendulkar aaga rasmi kriketi
Mchezaji bora zaidi wa Kriketi nchini India mwishoni mwa wiki, ameaga rasmi mchezo huo. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 40 anatarajia kumenyana na West Indies katika mchuano wa mwisho wa mashindano ya yajulikanayo kama ,Test, katika uwanja mashuhuri wa Wankhede.
Wasanii wa ‘Bongo’ wanavyotumia vibaya mitandao ya kijamii
Kuna wakati nilikuwa najaribu kuangalia stahili ya maisha ya baadhi ya wasanii wa muziki kutoka katika nchi nyingine. Lengo langu lilikuwa ni kuangalia na kutafuta chanzo cha wasanii wetu kufanya mambo ambayo ni kinyume na maisha ya kibongo.
Huu ni muda mwafaka kufungia viwanja?
Mzunguko wa kwanza Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara umefikia tamati hivi karibuni. Kuna timu ambazo zimefurahia awamu hiyo ya kwanza ya Ligi kutokana na kufanya vizuri.
Malaika kuingia sokoni kwa staili tofauti
Uongozi wa Bendi mpya ya muziki wa dansi ya Malaika iliyoundwa hivi karibuni, umesema kuwa umeamua kufanya muziki kwa kuzingatia ubunifu, tofauti na zilivyo bendi nyingine za muziki huo ili kukamata soko.