Category: MCHANGANYIKO
Mradi wa kutibu maji taka wazinduliwa Nzega
Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Tabora KIONGOZI wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Abdallah Shaib Kaim amezindua mradi wa ‘Bwawa la Kutibu Maji taka’ uliotekelezwa na serikali kupitia Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Nzega (NZUWASA) kwa gharama…
Waziri Kairuki aitaka TAWA kuongeza ukusanyaji mapato
Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) ameitaka menejimenti ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kuhakikisha inaongeza makusanyo yake ya mapato ya ndani zaidi ya lengo iliyojiwekea la kukusanya shilingi…
‘Watumishi wa umma jiepusheni na mikopo ya kausha damu’
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ridhiwani Kikwete (Mb) amewatahadharisha Watumishi wa Umma kujiepusha na mikopo yenye riba kubwa maarufu kwa jina la ” Kausha Damu” huku akisisitiza kuwa mikopo ya aina hiyo…
Jenista awataka wananchi Kata ya Mtyangimbole Songea kumchagua mgombea udiwani CCM
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Madaba Songea. Wananchi wa Kata ya Mtyangimbole, Kijiji cha IKalangiro kilichopo Wilaya ya Songea Vijijini wametakiwa kutofanya makosa katika marudio ya uchaguzi mdogo wa udiwani katika kata hiyo utakaofanyika Septemba 19, mwaka huu na kuombwa kumchagua…
Uamuzi wa Rais Samia wawakosha wakazi wa Nanyamba
Na Immaculate Makilika – MAELEZO Wakazi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba Wilaya Mtwara Vijijini wamefurahishwa na uamuzi wa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan wakuitaka Bandari ya Mtwara kuanza kusafirisha korosho. Akizungumza leo wilayani humo katika mahojiano maalum na Afisa wa…