JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Punguzo jipya la kodi, tozo, ada za ardhi

Hivi karibuni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, alipowasilisha hotuba yake ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka fedha 2015/16 mbele ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alizungumzia mambo mengi ambayo ni muhimu…

Pinda angepumzika tu

Miaka kadhaa iliyopita, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, aliwaita wahariri wa vyombo vya habari ofisini kwake, Dar es Salaam. Akazungumza mambo mengi. Nilipata bahati ya kualikwa, na ya kumuuliza swali. Swali langu, ukiacha ule mgogoro alioshindwa kuutatua- mgogoro wa ardhi Kwembe-Kati,…

Uchaguzi 2015: Uchumi wetu unahitaji uongozi wenye mtazamo ya kitajiri

Nafahamu kuwa nchi iko kwenye joto la uchaguzi na joto hilo ni kubwa ndani ya chama tawala ikilinganishwa na ilivyo nje (kwenye vyama vingine). Wasomaji mnajua kuwa safu yangu ya uchumi na biashara huwa sizungumzii siasa hata tone. Hata leo…

Hatma ya Tanzania iko kwa Jaji Lubuva

Waliosoma maandishi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa zamani, Jaji Mark Bomani, watakubaliana na mawazo yake. Hoja yake kuu ni kwamba Katiba mpya katika mazingira ya sasa ya nchi yetu, haiwezekani. Kwa maana hiyo hatuwezi kuwa na Uchaguzi Mkuu mwaka…

Mila za Wazanaki: Mwitongo na Muhunda

Baada ya makala ya juma lililopita juu ya lugha ya Kizanaki, naendeleza makala inayofafanua mila na tamaduni za kabila la Wazanaki. Eneo la Butiama linalojulikana kama “Mwitongo” linatokana na neno la Kizanaki lenye kumaanisha “mahame”, eneo ambalo lilikuwa na wakazi…

Ukimya wetu kwa CCM hii, unatosha

Mara baada ya kusoma makala hii, bila shaka utabaki kwenye akili ya mmoja wa wanafalsafa wa Uingereza aliyeitwa Francis Bacon (1561-1626). Alipata kunena kwamba “Anayeuliza mengi atajifunza mengi, na kubaki na mengi.”   Hii maana yake ni kwamba hakuna mtu…