JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Dating – What Exactly Could It Be?

The Dating Game Within this kind of situation it’s marginally dicey to discuss past relationships. Therefore be amenable to forgiveness and you’re going to confuse a loving relationship that may endure for a very long time. It’s safer to go…

KWANDIKWA AWATAKA ‘TAA NA TPDC’ KUHAMISHA BOMBA LA GESI UWANJA WA NDEGE MTWARA

Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akitoa maelekezo kwa uongozi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege ( TAA), mkoa wa Mtwara, wakati alipokuwa akikagua uwanja wa huo. Pembeni yake ni Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Evod Mmanda. Kaimu Meneja wa…

KHERI JAMES: RAIS MAGUFULI AMEAMUA KUSAFISHA NYUMBA HAKUNA MENDE ATAKAYEBAKI

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Taifa Ndg Kheri Denice James akizungumza na wakazi wa Kijiji cha Mndarara kilichopo Kata ya Ngaranaibor wakati wa ziara ya kikazi Wilayani…

DKT.KIGWANGALA AZINDUA KAMATI KUANDAA MWEZI WA URTIHI WA TAIFA LA TANZANIA

 Mjumbe wa kamati hiyo ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha  Mrisho Gambo  akizungumza leo jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa uzinduzi rasmi wa Kamati ya kitaifa ya kuandaa Mwezi maalumu wa maadhimisho ya Urithi wa Taifa…

TANZIA: ZUBER MSABAHA ALIYEKUWA MTANGAZAJI WA REDIO FREE AFRIKA AFARIKI DUNIA

Aliyekuwa mtangazaji maarufu wa kipindi cha bolingo time cha redio free ya Mwanza, Zuber Msabaha amefariki dunia na maziko yake ni leo Mabatini Jijini Mwanza. Mungu ailaze roho ya marehemu Msabaha alikuwa na mvuto na uhodari wa kuendesha kipindi cha…

The Debate Over Interesting If you genuinely desire to connect with your audience at a level of attention and participation, you will have to be in a position to link to them. Interesting men and women, paradoxically, listen a whole…