Category: MCHANGANYIKO
Wachambuzi wa Soka Wasema Alikiba Anaweza Kucheza Ulaya
Baadhi ya Wachambuzi wa Soka nchini akiwemo kocha wa Dodoma FC, Jamhuri Kihwelo amesema msanii wa Bongo Fleva nchini, Ally Salehe Kiba ‘Alikiba’ ni mchezaji mwenye uwezo wa kucheza Ligi Kuu Bara, na kama akiandaliwa vizuri anaweza kucheza hata Ulaya….
Magazetini leo Tarehe 11
Ni asubuhi nyingine tena na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania June 11, 2018 kuanzia ya, Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa.
Makundi ya Timu 16 Ligi ya Timu za Vijana Zatajwa
DROO ya upangaji wa makundi kwa timu 16 zitakazoshiriki ligi ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 (U20) ijulikanayo kwa jina la ‘Uhai Cup’ imefanyika jana ndani ya studio za Azam TV. Ligi hiyo inayoanza rasmi Juni 9,…
Simba Yatanguliza Mguu Mmoja Uingereza
Klabu ya soka Simba imefanikiwa kuingia fainali ya Michuano ya SportPesa Super Cup baada ya kuiondosha klabu ya Kakamega HomeBoys kutoka Kenya kwa mikwaju ya penati 5-4. Simba na Kakamega walifikia hatua hiyo ya kupigiana mikwaju ya penati baada ya…
Lipuli Fc Wamng’ang’ania Kocha wao Amri Saidi
Baada ya kutia kandarasi ya mwaka mmoja na Mbao FC, uongozi wa Lipuli wasema wanatambua kuwa kocha Amri Said ‘Stam’ bado ana mkataba na timu yao. Mwenyekiti wa Lipuli, Ramadhani Mahano, amefunguka na kusema wao wanatambua kuwa Stam ni kocha…