JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Kombe la Dunia Kuanza kensho na Wenyeji Urusi Dhidi ya Saudi Arabia

Imebaki siku moja kuanza kwa Mashindano ya Kombe la dunia litakalo anza kule Urusi kesho Alhamisi tarehe 14 kati ya Wenyeji Urusi dhidi ya Saudi Arabia. Timu zipo 32 ambazo ni hizi hapa Kundi A: Russia, Saudi Arabia, Egypt na…

KOCHA WA TAIFA WA HISPANIA ACHUKUA MIKOBA YA ZIDANE REAL MADRIDI

Kocha Julen Lopetegui ametangazwa kuchukua mikoba ya Kocha Zinedine Zidane aliyeamua kuachia ngazi. Lopetegui mwenye umri wa miaka 51 kwa sasa anainoa timu ya taifa ya Hispania inayoshiriki Kombe la Dunia. Kocha huyo kijana ataanza kazi mara moja baada ya…

Mavugo Afunguka Mstakabali wake na Klabu ya Simba

Mshambuliaji wa Simba, Mrundi, Laudit Mavugo, amefunguka na kueleza kuwa mkataba wake na klabu yake unamalizika Julai 7 2018. Wakati mkataba wake ukielekea kumalizika, Mavugo amesema Yanga ni moja ya timu zinazomuwinda hivi sasa kwa ajili ya kukiboresha kikosi chake….

Tuzo za Mo Somba Awards 2018 Zafana

Sherehe za simba zilifanyika jana usiku na kushuhudia baadhi ya wachezaji kubuka na tuzo. tuzo hizo ziliandaliwa na tajiri Mohamed Dewiji na kuziita   Golikipa bora ni  Aishi manura Beki bora ni Erasto ambapo alikuwa anapambana na Shomali Kapombe na…

Ronaldo Kufungua Kombe la Dunia

Mcheza soka maarufu  wa zamani Ronaldo De Lima wa Brazil, amepewa majukumu ya kuzindua rasmi fainali za Kombe la Dunia 2018 kwenye mechi ya ufunguzi kati ya wenyeji Urusi dhidi ya Saudi Arabia Alhamisi ya Juni 14.   Kwa mujibu…

Tuzo za Mo Awards Kutolewa leo

Tuzo za Simba Mo Awards zinafanyika leo katika ukumbi wa Hotel ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. Tuzo hizo zitakuwa maalum kwa watu wa klabu hiyo waliofanikisha Simba kufanya vizuri kwa msimu wa 2017/18.   Wanachama, viongozi, mashabiki na…