Category: MCHANGANYIKO
Simba Sc Kucheza Kagame Bila Mastaa wake
SIMBA imamua kuwapumzisha wachezaji wake mastaa wa kikosi cha kwanza katika michuano ya Kombe la Kagame iliyopangwa kufanyika jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa mastaa ambao wameachwa katika mashindano hayo ni Mnyarwanda Haruna Niyonzima na Jonas Mkude. Michuano hiyo imepangwa…
Kocha Aliyetimuliwa Simba Apata Dili nchini Libya
SIKU chache baada ya uongozi wa Simba kuachana na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Mfaransa, Pierre Lechantre, imebainika kuwa kocha huyo amepata dili nono nchini Libya katika Klabu ya Al Nasr inayoshiriki ligi kuu ya nchi hiyo. Hivi…
Abass Tarimba Ataja Mikakati ya Kuivusha Yanga
Wakati presha ya usajili wa wachezaji wapya kwa klabu za hapa Tanzania ukiendelea kushika kasi, Mwenyekiti wa Kamati Maluum ya kuivusha Yanga wakati wa mpito, Abass Tarimba, amesema jukumu kubwa la Kamati hiyo ni kushauri. Tarimba ameeleza kazi hiyo wanaifanya…
Ndemla Kuondoka Simba Sc
Tatizo siyo fedha, kwani Mohammed Dewji ‘Mo’ anaweza kuzitoa isipokuwa masharti magumu aliyoipa Simba ndiyo sababu ya kiungo mkabaji wa timu hiyo, Said Ndemla asuesue kusaini mkataba mpya wa kuendela kubaki kikosini humo. Simba na kiungo huyo hivi karibuni wameshindwa…
KOMBE LA DUNIA URUSI LEO NI ZAMU YA BRAZIL, MECHI ZINGINE KWA UJUMLA HIZI HAPA
Michuano ya Kombe la Dunia huko Urusi inaendelea tena Jumapili ya leo kwa jumla ya mechi tatu kupigwa. Brazil ambao wametwaa ubingwa wa mashindano hayo mara tano watakuwa wanacheza na Switzerland, wakati Ujerumani watakuwa wanakipiga na Mexico. Ratiba kamili ya…
UFARANSA YAANZA VIZURI KOMBE LA DUNIA DHIDI YA AUSTRALIA
Ufaransa imefanikiwa kuibuka na ushindi wake wa kwanza katika michuano ya Kombe la Dunia mwaka huu nchini Russia wa mabao 2-1 dhidi ya Australia. Mabao ya mchezo huo yametiwa kimiani na Antoine Griezmann katika dakika ya 58 kwa njia ya…