Category: MCHANGANYIKO
Mali ya Yahya Jammeh kupigwa mnada
Serikali ya Gambia inapanga kuuza ndege za kifahari pamoja na magarai ya rais wa zamani Yahya Jammeh kwa njia ya mtandao. Nchi majirani waliingilia kati kumtimua madarakani Rais Jammeh baada ya kushindwa kwenye uchaguzi Disemba mwaka 2016 ambapo alikataa kuondoka…
Zari: Diamond Alipokuja Alilala chumba kingine na mimi nikalala chumbani kwangu.
ALIYEKUWA mpenzi wa Diamond Platinumz, Zarina Hassan “Zari The Bosslady”, amefunguka kuhusu alivyoombwa msamaha mara kibao na watu mbalimbali akiwemo Babu Tale ambaye hivi karibuni alisafiri hadi Afrika Kusini kumshawishi arudiane na staa huyo. “Babu Tale alikuja Pretoria, alitaka…
VITA YA 16 BORA URUSI LEO: ARGENTINA VS UFARANSA HUKU URUGUAY VS URENO
Kimbembe cha michuano ya Kombe la Dunia hatua ya 16 bora kinaendelea leo kwa mechi mbili kushika kasi huko Urusi. Kunako majira ya saa 11 jioni, Urafansa itakuwa inacheza dhidi ya Argentina, mechi ambayo itakuwa na msisimko wa aina yake…
SERIKALI YATENGA 4.3bn/- KUJENGA VITUO VYA KUHIFADHI DAMU SALAMA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga sh. bilioni 4.3 ili kujenga vituo vya kuhifadhi damu (satellite blood banks) kwenye mikoa 12. Ameitaja mikoa hiyo kuwa ni Manyara, Katavi, Rukwa, Ruvuma na Njombe. Mingine ni Tanga, Arusha, Pwani, Singida, Songwe,…
Waziri Mkuu Awasilisha Hoja ya Kuahirishwa Bunge la Bajeti
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa hoja ya kuahirishwa kwa mkutano wa 11 wa Bunge la Bajeti ulioanza Aprili 3 na kumalizika leo Ijumaa Juni 29, 2018. Akiwasilisha hoja hiyo leo bungeni, Majaliwa amesema maswali 530 ya msingi na 1705 ya…