JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Kortini kwa ‘kula’ fedha za Uchaguzi Mkuu

Maofisa wa halmashauri za wilaya nchini waliosimamia Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2015 wameanza kuchunguzwa kwa matumizi mabaya ya fedha. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema baadhi yao wamekwisha kufunguliwa mashitaka wakituhumiwa kuandaa nyaraka…

ulius Mtatiro Mwenyekiti Kamati ya Uongozi CUF anashikiliwa na Polisi

Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa CUF Julius Mtatiro anashikiliwa na Polisi katika kituo Kikuu cha Polisi tangu jana July 5, 2018. Kwa muhibu wa alichoandika Zitto Kabwe katika Twitter yake na Facebook ni kuwa anahisi anatuhumiwa kwa kusambaza ujumbe…

RAGE AWACHANA NA KUWAPA USHAURI CECAFA, AWAKINGIA KIFUA YANGA

Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, amewashauri CEFACA kutoyachukulia mashindano ya KAGAME kama bonanza na badala yake yafuate ratiba. Rage ambaye aliwahi kuiongoza Simba kabla ya ujio wa utawala wa Evans Aveva, amewashauri CECAFA kupitia Katibu…

Zitto, Polepole, Nape, Lema, Mtatiro Watoa Neno Kuondolewa Mwigulu

BADA ya Rais Magufuli kutangaza mabadiliko madogo katika Wizara kadhaa na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Mwigulu Nchemba kuachwa, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole na Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe wameanza kuvutana mitandaoni kuhusu…

Watu 20 wafariki dunia katika ajali ya barabarani Mbeya

Takriban watu 20 wamefariki dunia na wengine 48 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha zaidi ya magari matatu mkoani Mbeya. Ajali hiyo ilitokea katika mteremko wa Iwambi mkoani Mbeya. Hii ni ajali ya tatu kutokea Mbeya katika kipindi kifupi ambapo…

Mawaziri Walioteuliwa na Rais Magufuli Kuapishwa Leo

Mabadiliko, haya yalifanyika ambapo, RAIS John Magufuli jana amefanya mabadiliko katika baraza la mawaziri na katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Kwa mujibu wa taarifa yake iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng .John Kijazi mabadiliko hayo ni kama…