Category: MCHANGANYIKO
SAMATTA NA LEVANTE WAFIKIA HATUA HII, MENEJA WAKE AFUNGUKA
Baada ya tetesi kubwa za Mtanzania, Mbwana Samatta anayekipiga katika klabu ya KRC Genk huko Ubelgiji kuhitajika Levante, kuzidi kushika kazi, Meneja wa mchezaji huyo, Jamal Kisongo amesema mambo bado hayajaa sawa. Kisongo amefunguka na kueleza mazungumzo baina ya Levante…
MGOGORO WA YANGA, WAMPELEKA AKILIMALI IKULU KWA MAGUFULI
Kutokana na hali ya Yanga kuwa katika kipindi cha mpito hivi sasa, imeelezwa kuwa Katibu wa Baraza la Wazee ndani ya klabu hiyo, Ibrahim Akilimali, amepanga kufika Ikulu kwa Rais John Pombe Magufuli. Taarifa imeeleza kuwa Akilimali amefunguka na kusema…
BAADA YA KUKABIDHIWA KITI CHA MKWASA, KAAYA AJA NA OMBI MOJA KWA WANAYANGA
Baada ya kuchaguliwa kuwa Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga akichukua nafasi ya Charles Mkwasa, Omary Kaaya, ameibuka na kueleza jambo la kwanza ambalo Wanayanga kwa ujumla wanapaswa kulitilia nguvu. Kaaya amesema ili Yanga iweze kusonga mbele cha kwanza inabidi waunganike…
UONGOZI YANGA WAWEKA HADHARANI VIINGILIO VYA MCHEZO DHIDI YA GOR MAHIA
Uongozi wa klabu Yanga umetangaza viingilio vya mchezo wa mkondo wa pili dhidi ya Gor Mahia FC utakaopigwa Uwanja wa Taifa, Julai 29 2018. Kueleka mchezo huo wa Kombe la Shirikisho Afrika, Ofisa Habari wa Yanga, Dismas Ten, amesema kuwa…
BAADA YA MKWASA NA SANGA KUACHIA NGAZI, UONGOZI YANGA WATOA TAMKO JUU YA WATAKAORITHI NAFASI ZAO
Baada ya viongozi wa Yanga kuzidi kuachia ngazi akiwemo Kaimu Mwenyekiti wa klabu hiyo jana, Clement Sanga kutangaza kujiuzulu wadhifa wake, Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili, Hussein Nyika, ameitisha kikao na wahabari leo. Nyika ameitisha kikao hicho kuzungumzia mustakabali mzima…