Category: MCHANGANYIKO
Yanga Kucheza na Timu ya Mchangni leo
Baada ya siku takribani tano kupita tangu kikosi cha Yanga kiweke kambi mjini Morogoro, imeelezwa Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera ameomba mechi moja kukipima kikosi chake. Taarifa kutoka Morogoro zinasema Zahera ameomba apatiwe timu moja ambayo haishiriki Ligi Kuu Bara ili…
Hemed Morocco Aweka Wazi Kujiengua Singida United
Baada ya kuelezwa kujiengua ndani ya kikosi cha Singida United ikielezwa hajalipwa baadhi ya stahiki zake, Kocha Hemed Morocco, amesema hakuna kilichoharibika. Morocco amekuja na kauli ya kitofauti akisema hakuna tatizo lolote lililotokea baina yake na mabosi wa Singida, huku…
YANGA YAENDELEA KUJIFUA MOROGORO KWA AJILI YA WARABU
Kikosi cha Yanga kipo mjini Morogoro kikiendelea na mazoezi kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger. Yanga itashuka dimbani Uwanja wa Taifa Dar es Salaam Agosti 19 2018 kumenyana na Alger kutoka Alger wakiwa…
KATIBU WA ZAMANI WA TFF ANUSURIKA AJALI YA GARI DAR
Mwanahabari mwandamizi na katibu mkuu wa zamani wa TFF, Angetile Osiah amenusurika kifo katika ajali mbaya ya gari, jana. Osiah alipata ajali mbaya baada ya gari lake kugonga roli akiwa njiani kwenda nyumbani kwake Chanika jijini Dar es Salaam. Akizungumza…
Mbunge CCM Mbaroni kwa Tuhuma za Rushwa
MBUNGE wa Kishapu Mkoani Shinyanga (CCM), Suleiman Nchambi na viongozi watatu wa mgodi wa Stamigold uliyopo Tulawaka wilayani Biharamulo Kagera, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za rushwa. Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Wilaya…
SIMBA YAINGIA MKATABA WA MILIONI 250 NA MO ENERGY
Uongozi wa klabu ya Simba umetangaza kuingia mkataba wa mwaka na Kampuni ya Utengenezaji vinywaji ya A One Products kupitia kinywaji cha Mo Energy Drink. Mkataba huo utakuwa na thamani ya fedha za kitanzania, shilingi milioni 250. Kwa mujibu wa…