Category: MCHANGANYIKO
LIVERPOOL YAZIDI KUFANYA MAAJABU EPL, YAITWANGA LEICESTER 2-1
Kikosi cha Liverpool kimeendelea kuonesha dhamira ya kukirejesha kikombe cha Ligi Kuu England kwa kuicharaza Leicester City mabao 2-1 ikiwa kwao. Mabao ya Liverpool yamepachikwa kimiani na Sadio Mane mnamo dakika ya 10 pamoja na Robert Firmino katika dakika ya…
MAAMUZI YA KOCHA STARS BAADA YA KUWATOSA WACHEZAJI WA SIMBA
KOCHA wa timu ya Tanzania, Taifa Stars, M-Cameroon, Emmanuel Amunike, amekutana na wachezaji Simba aliowaondoa kwenye kikosi chake baada ya kuchelewa kuripoti kambini. Baada ya kukutana nao, Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Clifford Ndimbo ametoa taarifa kuwa…
Tunatoa Pole kwa Mama Mzazi wa Mbunge ‘Sugu’ Ambaye Amefarik Dunia Jana
Mama mzazi wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu (CHADEMA), amefariki dunia jana Jumapili Agosti 26, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), alikokuwa akipatiwa matibabu. Uongozi wa Jamhurimedia unatoa pole kwa mbunge Sugu pamoja na Familia yake,…
SERENGETI BOYS DIMBANI TAIFA LEO
Michuano ya vijana walio chini ya miaka 17 inayoendelea kutimua vumbi jijini Dar es salaa kufuzu fainali za Afcon leo Tanzania (Serengeti Boys ) watakuwa dimbani dhidi ya Rwanda (Amavubi Junior )vijana wa Kagame katika mchezo ambao utatoa matokeo ya…
Ronaldo, Modric, Salah Vitani Mchezaji Bora, Messi, Mbappe Waenguliwa
Shirikisho la soka barani Ulaya limetangaza majina ya Nyota wanaoshindania tuzo ya Mchezaji Bora wa Ulaya UEFA kwa mwaka 2017/2018 ambao ni Cristiano Ronaldo wa Juventus, Luka Modric wa Real Madrid na Mohammed Salah wa Liverpool. Hii ni baada ya kufanya mchujo…