JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

NINA NDOTO (13)

Anza na ulichonacho, anzia hapo ulipo   Anza na ulichonacho. Anzia hapo ulipo. Kusubiri kila kitu kikae sawa ndipo uanze ni kuchelewesha ndoto zako. Kusubiri kila kitu kikamilike ni sawa na kusubiri meli kwenye kiwanja cha ndege. Muda sahihi wa…

Huduma ya mwendokasi ina mushkeli, irekebishwe

Namshukuru Mwenyezi Mungu kutujalia uhai na wenye afya njema. Kila siku tukiamka ni siku mpya na yenye matumaini kwa misingi kwamba zipo fursa nyingi za kutuwezesha kuyamudu maisha yetu ya kila siku hasa katika Jiji la Dar es Salaam. Wengi wetu…

MAISHA NI MTIHANI (11)

Urafiki ni mtihani. “Katika mafanikio marafiki zetu wanatujua; katika shida tunawajua,” alisema John C. Collins. Mtu akifanikiwa anawakwepa baadhi ya marafiki, lakini akiwa na shida baadhi ya marafiki wanamkwepa. Urafiki ni mtihani. Msemo wa “biashara haina urafiki” unabainisha kuwa urafiki…

Ndugu Rais karibu mezani

Ndugu Rais, Bwana Yesu alipoona saa yake imekaribia aliwaambia wanafunzi wake waandae meza apate kula nao chakula cha mwisho. Angeweza kuwaaga kwa namna nyingine yoyote, lakini aliandaa meza. Namshukuru Mungu kuniwezesha kuingia katika chumba ilipoandaliwa meza kwa ajili ya chakula…

Mauaji yakimbiza ajuza, vikongwe

Baadhi ya watu, wakiwamo ajuza na vikongwe katika vijiji vya Kongolo na Shilingwa, Wilaya ya Magu mkoani Mwanza wamekimbia makazi yao wakihofu kuuawa. Miongoni mwa waliokimbia ni Sophia Pondi (54) aliyevamiwa nyumbani kisha wavamizi hao kumpigilia msumari tumboni. Wakazi wa…

WAKALA WA SAMATTA AKANUSHA TAARIFA ZINAZOZAGAA KUHUSU MBWANA KUKIPIGA LIGI YA EPL

Baada ya kuzuka tetesi jana juu ya Mtanzania, Mbwana Samatta anayekipiga katika klabu ya KRC Genk huko Ulaya, wakala wa mchezaji huyo, Jamali Kisongo, ameibuka na kukanusha habari hizo. Iliripotiwa kuwa Samatta ameanza kuwindwa na timu kadhaa zinazoshiriki Ligi Kuu…