JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Ili kukuza uchumi Tanzania isibadili tu itikadi, ibadili mbinu pia

DAR ES SALAAM NA JOHN KIMBUTE Mwelekeo wa sasa wa sera za nje za Tanzania una tofauti kiasi fulani na tulichozoea awali, na kwa njia hiyo imebidi viongozi serikalini wafanye kazi ya ziada ya kuainisha maeneo ya fikra au itikadi…

Uamuzi wa Busara

Uamuzi wa Busara ni jina la kitabu kilichochapishwa na Ofisi ya Katibu Mtendaji Mkuu wa TANU, kimebeba mambo muhimu yaliyoamuliwa kuhusu taifa kabla ya kupata uhuru. Yapo mambo ambayo kama yasingefanyika ingekuwa vigumu kujua historia ya nchi hii ingekuwaje leo….

Kampuni za simu zawekeza Sh trilioni 6 nchini

Uwekezaji wa kampuni zinazotoa huduma za simu za mikononi umefikia Sh trilioni 6 ambazo zimekuwa na tija kubwa kwa taifa na kuifanya sekta ya mawasiliano kuwa miongoni mwa sekta zinazokua kwa kasi kubwa hapa nchini. Wakati uchumi ukikua kwa asilimia…

Adui mkubwa wa Simba huyu hapa

Karibu kila mwanachama wa Simba ambaye anaonekana kwenye runinga akizungumzia  mustakabali wa timu hiyo, anakosa hoja nzito yenye mashiko.  Kila anayemkaribia mwandishi wa habari wa kituo cha runinga anaizungumzia Simba kwa uchungu kwa sababu tu timu haijafikia lengo lililokusudiwa. Hajasikika…

Matokeo ya kidato cha SITA mwaka 2019

Yatazame kwa urahisi matokeo ya kidato cha SITA mwaka 2019 hapa>>> https://matokeo.necta.go.tz/acsee/acsee.htm

Hatua rahisi za kutoa gari bandarini

Katika mfululizo wa makala za bandari, leo tunakuletea utaratibu unaotumika katika kuhudumia shehena ya magari hatua kwa hatua katika bandari za TPA, kuanzia meli inavyoingia bandarini, gari linavyoteremshwa kutoka melini, gari linavyopokelewa bandarini, gari linavyotoka bandarini hadi mteja kukabidhiwa gari…