Category: MCHANGANYIKO
Kapinga atangaza fursa za uwekezaji nishati nchini Saudi Arabia
📌Ashiriki Kongamano la Wafanyabiashara na Wawekezaji nchini humo 📌 Zaidi ya Wafanyabiasha na Wawekezaji 250 wakutana 📌 JNHPP yatajwa kuongeza uhakika wa uwepo wa umeme 📍Saudi Arabia Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Kongamano la Wafanyabiashara na Wawekezaji…
CP Wakulyamba : Serikali itaendelea kukipa thamani Chuo cha Likuyu Sekamaganga
Na Mwandishi Wetu,JamuhuriMedia Namtumbo, Songea Naibu katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii anayeshughulikia Maliasili, Kamishna wa Polisi Benedict Wakulyamba amesema Serikali itaendelea kukipa thamani chuo cha Likuyu Sekamaganga kutoa mafunzo ya uhifadhi wa maliasili ya jamii ili kushiriki…
Wanne wafikishwa mahakamani kwa tuhuma za wizi wa kopa za milioni 300 mali ya SGR
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMediaPwani Watu wanne akiwemo Meneja wa Kampuni ya GBL Group, Abdul Huot (56) wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Mkuranga wakikabiliwa na tuhuma za wizi wa mali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambazo ni kopa zenye…
Vifo vya ajali vyafikia 15 Morogoro
Idadi vifo vilivyotokana na ajali iliyohusisha gari ndogo ya abiria aina ya Coaster iliyokuwa ikitokea mkoani Morogoro kuelekea Jijini Dar -es Salaam kugongana uso kwa uso na gari kubwa la mizigo lililokuwa likitokea Jijini Dar es Salaam kuelekea mkoani Morogoro…