Category: MCHANGANYIKO
Wasanii wa ‘Bongo’ wanavyotumia vibaya mitandao ya kijamii
Kuna wakati nilikuwa najaribu kuangalia stahili ya maisha ya baadhi ya wasanii wa muziki kutoka katika nchi nyingine. Lengo langu lilikuwa ni kuangalia na kutafuta chanzo cha wasanii wetu kufanya mambo ambayo ni kinyume na maisha ya kibongo.
Huu ni muda mwafaka kufungia viwanja?
Mzunguko wa kwanza Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara umefikia tamati hivi karibuni. Kuna timu ambazo zimefurahia awamu hiyo ya kwanza ya Ligi kutokana na kufanya vizuri.
Malaika kuingia sokoni kwa staili tofauti
Uongozi wa Bendi mpya ya muziki wa dansi ya Malaika iliyoundwa hivi karibuni, umesema kuwa umeamua kufanya muziki kwa kuzingatia ubunifu, tofauti na zilivyo bendi nyingine za muziki huo ili kukamata soko.
Sumaye kumtukana Lowassa unajidhalilisha, JK umenena
Mpendwa msomaji natumaini hujambo. Wiki hii nimejikuta kwenye mtanziko wa hali ya juu. Zimekuwapo mada nzito nzito, kwa kiwango nashindwa niandike juu ya ipi na kuacha ipi. Hata hivyo, mambo matatu nitayagusia. Mchango wa Waziri Mkuu wa zamani bungeni, Edward Lowassa, Mkutano wa Waziri Mkuu wa zamani Frederick Sumaye na hotuba ya mwaka ya Rais Jakaya Kikwete kuhusiana na Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Yah: Nimechoka na haki ya sheria!
Yah: Nimechoka na haki ya sheria!
Navuta shuka ambalo ni chakavu sana linaruhusu mbu waingie bila kipingamizi na kuning’ata, natumia dawa mseto kama tiba yangu kila wakati, sasa nimewazoea mbu kiasi cha kutonifanya nishindwe kupata usingizi mzito.
Tanzania kushiriki Reggae Ethiopia
Bendi ya muziki wa Reggae ya mjini Arusha ya ‘The Warriors From the East’ inarajia kushiriki katika tamasha maalum la Muziki wa Reggae, litakalofanyika nchini Ethiopia mwishoni mwa mwezi huu.