Category: MCHANGANYIKO
Jifunze namna ya kuunda kampuni
Yah: Kipi kiwe kigezo cha urais kwa sasa Tanzania?
Mwaka 1995, Mwalimu Nyerere alisimama katika majukwaa ya kuongea na wananchi juu ya kiongozi safi na anayefaa kuiongoza nchi yetu katika awamu ya tatu, alisimama akaongea mengi sana ambayo mengine hadi leo hayajafanyiwa kazi na awamu zote zilizokuwapo na kupita.
Miaka 69 ya Umoja wa Mataifa, dunia iko salama?
Ijumaa iliyopita Oktoba 24, mwaka huu ulimwengu uliadhimisha miaka 69 tangu kuanzishwa Jumuiya ya Umoja wa Mataifa (UN) huko New York nchini Marekani. Ilikuwa ni baada ya Vita Kuu vya Pili ya Dunia kumalizika (1939-1945).
Ombwe kamwe halikubaliki
Mwenyezi Mungu alipoumba dunia yetu alipanga kila kitu kujiendesha kwa namna ya ajabu. Viumbehai na visivyokuwa hai vyote vilipangiliwa kimaajabu kabisa kwa kadiri ya huo utaratibu wa Muumba wetu.
Athari za Serikali kupuuza vyombo vya habari
Sisi sote tunatarajia vyombo vya habari na mchango wake wa Taifa letu. Kwa jumla vyombo vya habari hufanya kazi tatu. Huelimisha, huchochea maendeleo na huburudisha. Lakini pia vyombo vya habari hupunguza tatizo la ajira. Hutoa ajira.
Ujangili Ruaha umepungua, haujakwisha
Alhamisi Oktoba 16, mwaka huu napigiwa simu na Ofisa Habari wa Umoja wa Mataifa (UN), Stella Vuzo, kuwa nimeteuliwa kwenda kuripoti kazi zinazofanywa na Umoja huo katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha.
- Waziri Kijaji afungua mkutano wa Uchumi wa Buluu COP29
- Serikali kushirikiana na USAID, Ubalozi wa India kuboresha sekta ya afya
- CCT yasikitishwa changamoto zilizojitokeza kuelekea uchaguzi Serikali za Mitaa
- Israel yashambulia mji wa Damascus
- Kuelekea Maadhimisho ya UKIMWI Duniani,Serikali yaeleza ushamiri wa VVU kitaifa kuwa ni asilimia 4.4
Habari mpya
- Waziri Kijaji afungua mkutano wa Uchumi wa Buluu COP29
- Serikali kushirikiana na USAID, Ubalozi wa India kuboresha sekta ya afya
- CCT yasikitishwa changamoto zilizojitokeza kuelekea uchaguzi Serikali za Mitaa
- Israel yashambulia mji wa Damascus
- Kuelekea Maadhimisho ya UKIMWI Duniani,Serikali yaeleza ushamiri wa VVU kitaifa kuwa ni asilimia 4.4
- Rais Samia aongoza waombolezaji kuaga mwili wa marehemu Lawrence Mafuru Dar
- TMDA yawashauri watoa huduma, wagonjwa kutoa taarifa za vifaa tiba visivyokidhi viwango
- Tabora United yapewa mil. 25/- kwa kuifunga Yanga, RC aahidi kuwapa mil.50/- wakiifunga Simba
- EWURA yazawadia wahitimu bora Chuo cha cha Maji
- Mwili wa marehemu Lawrance Mafuru wawasili viwanja vya Karimjee Dar
- Jela miaka 30 kwa kubaka mtoto
- Jeshi la Israel latangaza kuuawa kwa wanajeshi wake sita
- Rais Dkt. Samia kufungua mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini 2024
- Biden amkaribisha Trump Ikulu ya White House
- Maendeleo uwekezaji mradi wa Liganga na Mchumba