JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Rais Samia atuma salamu za rambirambi vifo vya watu 19 Mbeya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera kufuatia vifo vya watu 19 vilivyotokea katika ajali ya gari. Ajali hiyo imetokea jana saa mbili asubuhi katika eneo…

Afisa uchaguzi Kenya aliyetoweka apatikana akiwa amefariki

ALIYEKUWA msimamizi wa uchaguzi katika kituo cha kupigia kura katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, amepatikana akiwa amefariki siku chache baada ya familia yake kuripoti kuwa ametoweka, vyombo vya habari vya Kenya vinaripoti. Mwili wa Daniel Mbolu Musyoka umepatikana katika…

Wakenya watarajie kumpata rais wao leo

Matokeo ya uchaguzi Mkuu kenya huenda yakatolewa leo kama zoezi la kuhesabu kura litakamilika kutoka kwa kaunti zote. Kati ya wagombea wanne wa kiti cha urais nchini humo ni wagombea wawili wanaonyesha ushindani mkali kwa kukabana kwa idadi ya kura…

Majaliwa atoa rai viongozi wa dini kuombea amani

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema viongozi wa dini hawana budi kuendelea kuiombea amani Tanzania pamoja na viongozi wake kwani bila amani hata kusanyiko la kidini haliwezi kufanyika. Akinukuu Quran tukufu sura ya 2, aya ya 126 (Quran 2:126), Waziri Mkuu…

Amuua mkewe na mtoto wake,walifunga ndoa mwezi uliopita

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Morogoro Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia Msafiri Nasibu (31), mkazi wa kitongoji cha Maskati, Kata ya Tegetero Halmashauri ya Morogoro kwa tuhuma za mauaji ya mke wake Mariam Vitaris (19) na mtoto wake wa miaka 2 huku…