JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Tamasha la Siku ya Mkerewe kuanza Juni

Shirika la Kuboresha Mienendo na  Desturi kwa Ustawi (KUMIDEU) katika Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, linashirikiana na wadau mbalimbali kuandaa tamasha la Siku ya Mkerewe.

Serikali inachekea udini, maadui wanalifahamu

Najua wengi wameandika mada hii. Ni karibu wiki sasa tangu kutokea kwa ugaidi kule Arusha. Wengi wameibuka na mijadala yenye kusisitiza kuwa kilichotokea Arusha ni mwendelezo wa udini. Baadhi wamefika mahali wanasema wazi kuwa Serikali imetunga majina ya watuhumiwa.

Mashabiki wamtimua Mourinho Hispania

Mashabiki na wapenzi wa soka nchini Hispania wanatajwa kuwa sababu kuu inayomfanya Kocha wa Timu ya Real Madrid, Jose Mourinho, kuikimbia timu hiyo kutokana na kukosa uhusiano mzuri na wadau hao.

MISITU & MAZINGIRA

Uharibifu misitu: Janga linaloiangamiza Tanzania (3)

Nini kifanyike ili kuiokoa misitu ya asili isiendelee kuharibiwa na kutoweka? Yafuatayo yanafaa kuzingatiwa na kufanyiwa kazi ipasavyo:

Mnataka viashiria vya udini? Hivi hapa

Bunge limepitisha “Azimio la Bunge” linaloitaka Serikali ipambane ili kukomesha viashiria vyote vya udini nchini mwetu. Ni Azimio zuri.

FIKRA YA HEKIMA

 

Polisi, Sumatra wanalea mawakala matapeli stendi ya mabasi Nyegezi  Ukifika kituo cha mabasi cha Nyegezi jijini Mwanza, huwezi kupinga malalamiko kuwa rushwa imenunua utendaji wa maofisa wa Jeshi la Polisi na Mamlaka ya Udhibiti wa Vyombo vya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA).