Category: MCHANGANYIKO
‘Tufanye mazoezi ili kujikinga na maradhi ya afya ya akili’
Na Rahma Khamis,JamhuriMedia,Zanzibar Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Salim Slim amesema ni vyema jamii kuweka mfumo madhubuti wa kufanya mazoezi ili kujikinga na maradhi mbalimbali ikiwemo magonjwa ya afya ya akili. Ushauri huo ameutoa huko Kinazini mara…
JK aonesha picha za wazai wake
Na Issa Michuzi,JamhuriMedia Akiwa katika mahojiano katika kipindi maalumu cha kuadhimisha miaka 72 ya kuzaliwa cha JK72 na watangazaji wa Clouds FM na Clouds TV, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho…
Rais Ruto kuwasili nchini kesho
Rais wa Kenya, William Ruto kesho ataanza ziara ya siku mbili nchini, tangu alipoapishwa Septemba 13, mwaka huu kuwa rasi wa tano wa nchi hiyo. Tangu alipoapishwa, Rais Ruto ametembelea nchi tatu tofauti, ikiwamo Uingereza alikokwenda kuhudhuria maziko ya Malkia…
TDM:Dawa iliyoua watoto 66 Gambia haipo nchini
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), imesema itaendelea kuchukua tahadhari zote kupitia mifumo yake ya udhibiti, ili kubaini endapo dawa inayosadikiwa kusababisha vifo vya watoto 66 nchini Gambia zitafika nchini. Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka hiyo,Adam Fimbo katika taarifa yake…
TFF yazifungia Singida, Prisons
Klabu za Singida Big Stars na Tanzania Prisons zimefungiwa kufanya usajili wa wachezaji wapya kwa dirisha moja la usajili kwa kosa la kusajili wachezaji walio na mikataba na klabu nyingine.
Halotel yasherehekea miaka 7 ya utoaji huduma kwa kuchangia damu
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Kampuni ya simu ya Halotel na wafanyakazi wake leo wameshiriki katika zoezi la kuchangia damu ikiwa ni sehemu ya kusheherekea na kuadhimisha miaka 7 ya kampuni na utoaji wa huduma za mawasiliano. Zoezi la kuchangia damu ni…