JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Serikali yajipanga kukamilisha ujenzi wa vituo vya afya

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Festo Dugange amesema kuwa Serikali imeweka mpango mkakati wa ukamilishaji wa ujenzi wa vituo vya afya vyote nchini kwa lengo la vituo hivyo kuanza kutoa huduma kwa…

Gwajima awabana wazee malezi ya vijana wa kiume

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima amewataka Wanaume wazee  kuwaandaa na kuwalea vijana kwa ajili ya  maisha ya uzeeni. Waziri Dkt. Gwajima ametoa rai hiyo wakati wa Uzinduzi wa harambee ya kuchangia chama…

Rais Samia ateua viongozi mbalimbali

Rais Samia Suluhu Hassan ameteua wenyeviti wa bodi mbalimbali na watendaji katika taasisi mbalimbali hapa nchini. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Oktoba 22, 2022 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Zuhura Yunus imesema kuwa ameteua wenye viti wa…

Mabula:Rais Samia ameondoa mfumo dume, wanawake mjiamini

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi Dkt. Angeline Mabula amewataka wanawake kujiamini na kutumia fursa mbalimbali zinazowazunguka ili kujiimarisha kiuchumi badala ya kuendelea kulalamika kukwamishwa na mfumo dume. Waziri Dkt. Mabula ameyasema hayo Oktoba 16, 2022 jijini Mwanza wakati akifungua…