JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Hospitali Madaba kutoa huduma zote muhimu

UJENZI wa hospitali ya Halmashauri ya Madaba Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma upo katika hatua za umaliziaji. Mkuu wa Wilaya ya Songea Mheshimiwa Pololet Mgema amesema serikali imetoa shilingi bilioni 2.9 kutekeleza mradi huu ambao utawezesha kutoa huduma zote muhimu…

Kocha wa Simba na wenzake 9 wadakwa na dawa za kulevya

Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania (DCEA), Gerald Kusaya ametangaza watuhumiwa tisa wakiongozwa na Mmiliki wa Kambiaso Sports Academy, Alhaj Kambi Zubeir Seif pamoja na Kocha wa Makipa wa Klabu ya Simba, Mwalami…

EWURA: Watanzania tembeleeni RUAHA mjionee

Na Mwandishi Wetu,Iringa Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Leo 11 Nov 2022, wamezuru Hifadhi ya Wanyama Ruaha kujionea vivutio mbalimbali na kuchangia ukuaji wa mapato yatokanayo na utaliinchini. Wajumbe…

EWURA yajipanga kutatua malalamiko ya watumiaji huduma za nishati,maji

Na Mwandishi Wetu,Iringa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Mhandisi Modeatus Lumato,amesema kuwa wamejipanga kupokea na kutatua malalamiko ya watumiaji wa Huduma za Nishati na Maji ili wananchi wapate thamani halisi ya huduma…

Ummy: Tanzania bado ina uhaba wa madaktari bingwa

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema Tanzania bado ina uhaba mkubwa wa Madaktari Bingwa hivyo uwepo wa mpango wa kambi ya upasuaji wa huduma za kibingwa unahitajika sio kwa mkoa wa Tanga bali ni mikoa yote nchini. Ummy ambaye pia…