JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Kwa Simba hii maji mtayaita mma

Na Mwandishi wetu. Wakala wa Djuma Shaaban na Yanick Bangala ameshusha chuma kingine Tanzania. Straika mcongo, Jean Baleke Othos (21), yupo chini ya menejimenti ya  faustyworld ambaye ni wakala wa Djuma Shaaban, Yanick Bangala wa Yanga na Ben Malango.  Ujio…

Marekani kuwapa fursa vijana wa Kitanzania wenye vipaji

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Pauline Gekul leo Januari 13, 2022 jijini Dar es Salam, ameongoza kikao kati ya Wizara hiyo na Wadau wa Diaspora kutoka nchini Marekani kupitia asasi ya Global Youth Support Center, kujadili nia ya…

Serikali yawahakikishia wawekezaji ulinzi na usalama

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amewahakikishia Wafanyabiashara na wawekezaji kuwa Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuweka mazingira Bora ya biashara pamoja na kutatua changamoto za Wafanyabiashara. RC Makalla amesema hayo wakati wa ufunguzi…

Kesi ya aliyekuwa kigogo wa PSSSF na wenzake yazidi kurindima

Na Mwandishi wetu JAMHURI. Shahidi wa utetezi,Khalid Kilua katika kesi ya  wizi wa vitu vya dukani vyenye thamani ya Sh 68.4 milioni inayomkabili aliyekuwa Meneja wa Mfuko wa Pensheni kwa watumishi wa Umma(PSSSF),Rajabi Kinande na wenzake amedai kuwa alipewa taarifa…

Ridhiwani apendekeza TRC kuweka kituo Magindu ili Wanachalinze wanufaike na SGR

Na Mwamvua Mwinyi,Pwani Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambae pia ni mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete ametoa mapendekezo kwa Shirika la Reli Tanzania kuona namna ya kuweka kituo eneo la Magindu katika Reli ya…