Category: MCHANGANYIKO
Nyerere:Kila mwananchi anatakiwa kupanda mti na kuutunza
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Makongoro Nyerere amewataka wakuu wa wilaya, wakurugenzi pamoja na wakuu wa idara za mazingira kila mmoja kuhakikisha miti inapandwa kama muongozo unavyoelekeza. Hayo ameyasema wakati wa uzinduzi wa zoezi la upandaji miti mkoani hapa na…
Wizara ya Afya yawachukulia hatua watumishi
Serikali imewachukulia hatua watumishi wa wawili wa afya ambao video yao ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonyesha watumishi hao wakijibizana kuhusu matumizi ya vifaa (vitendanishi) vya kupimia malaria vilivyoisha muda wake wa matumizi. Watumishi hao Rose Shirima ambaye ni mkunga…
CHADEMA: Sheria iliyopo inafifisha uhuru wa vyombo vya habari
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),kimesema sheria iliyopo inafifisha uhuru wa vyombo vya habari katika kutekeleza majukumu yao hasa katika kipindi hiki ambacho mikutano ya hadhara imeruhusiwa, jambo ambalo litawanyima fursa ya kutekeleza majukumu yao. Hayo yamebainishwa…
UWT wampa kongole Rais Mwinyi kuchaguliwa Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar
Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, leo tarehe 16 Januari 2023 amekutana na Viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Ikulu Zanzibar. Uongozi wa Jumuiya hiyo ukiongozwa na Mwenyekiti wa…
Hospitali ya Wilaya ya Itilima yaanza kutoa huduma za uapasuji
Hospitali ya Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu imeanza kutoa huduma za upasuaji kwa wakinamama wanaopata uchungu pingamizi. Mganga mkuu wa Wilaya Dk. Anold Musiba amesema huduma hiyo imeanza kutolewa kwa akina mama wajawazito wanaopata changamoto ya kushindwa kujifungua kwa njia…