JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Balile:Tunaamini upatikanaji sheria rafiki kwa wanahabari ni ya kidiplomasia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF),linaamini kuwa njia bora ya kupigania upatikanaji sheria rafiki kwa vyombo vya habari ni ya kidiplomasia. Hayo yamesemwa na mwenyekiti wa jukwaa hilo Deodatus Balile,wakati wa mkutano wa mtandaoni (online meeting) uliofanyika…

‘Shule za sekondari, msingi zirudishe mazoezi kwa wanafunzi’

Na WAF – Dar es Salaam Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amezitaka shule zote za msingi na sekondari nchini kuwepo na mazoezi ya viungo kwa wanafunzi ikiwepo kukimbia, mchakamchaka, kutembea na kucheza ngoma au mpira kwa lengo la kupunguza Magonjwa…

Bunge lapitisha bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Aprili 24, 2023 limepitisha Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa mwaka wa Fedha 2023/2024 kiasi cha ya Sh. 54,102,084,000 kwa matumizi mbalimbali yakiwemo miradi ya maendeleo. Akitoa maelezo kuhusu hoja…

Mabula: Zingatieni masharti ya hati miliki za ardhi

Na Munir Shemweta, JamhuriMedia,Mwanza Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewataka wananchi wanaokabidhiwa hati milki za ardhi kuhakikisha wanazingatia masharti yaliyopo kwenye hati sambamba na kufuata mipango kabambe ya maeneo husika. Dkt Mabula amesema hayo…