Category: MCHANGANYIKO
Waziri Mkuu azindua mpango mkakati wa AMREF
*Asisitiza mashirika yasiyo ya kiserikali yazingatie maadili WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amezindua Mpango Mkakati wa miaka nane wa AMREF Tanzania na kuahidi kuwa Serikali itaendelea kufanya ufuatiliaji ili kuhakikisha afua zilizopo katika mpango huo zinatekelezwa kwa ufanisi na kuboresha huduma…
Korea Kusini yakaribishwa kuwekeza Tanzania
Na Na: Saidina Msangi, WF, Busan, Korea Kusini Tanzania imeikaribisha Jamhuri ya Korea ya Kusini kuwekeza katika sekta mbalimbali ikiwemo nishati na kilimo nchini Tanzania ili iweze kufikia lengo la kuwa na maendeleo endelevu. Wito huo umetolewa na Balozi wa…
TRA Pwani yazindua kampeni maalumu ya tuwajibike
Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Pwani katika kupambana na kudhibiti mianya ya ulipaji wa kodi imezindua kampeni maalumu yenye lengo la kutoa elimu kwa wafanyabiashara juu kutumia mashine za kielekroniki (EFD) pindi wanapouza bidhaa zao. Hayo yamebainishwa…
NIC lapata mageuzi makubwa ndani ya miaka mitatu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Shirika la Bima la Taifa (NIC) limeelezea mageuzi yaliyofanyika ndani ya miaka mitatu katika shirika hilo na kusababisha litoke kwenye kuzalisha hasara na kuzalisha faida. Katika kipindi cha mwaka 2019/20 NIC ilikua inazalisha faida ya Sh…
Majaliwa aipa tano Taifa Stars
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza timu ya Taifa ya mpira wa miguu (Taifa Stars) kwa kufuzu kuingia michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Africa Cup of Nations 2024) itakayofanyika nchini Ivory Coast. Ametoa pongezi hizo leo (Ijumaa, Septemba 8,…